Dunia yako, chaguo lako...

Kuna Mashuka alipita nayo hapa kaniringishia eti amemnunulia Mtu Chake, kumbe ulimtuma aniletee mimi?
Khaaa, jamani preta mbaya kweli...kumbe kayapeleka kwa mtu chake? Ole wake nimkamate..

Usijali ntakupitishia shati na sarawili kesho asubuhi na mapema!
 
No ! Ameingia mchana, aliniaga akitoka job atapitia saloon, kuboresha nywele, hata hivyo nafikiria niwe nampeleka mwenyewe, hii ya man alone mwisho leo!
Hii mida si unajua tena !
Ndo mida ya kucheza bao la kete !
Uongo Shem ?
Kweli shem..

Uwe unampeleka bana shemeji, dunia yako chaguo lako chagua kumpeleka mkeo saluni na kumsubiri mpaka amalize kutengeneza nywele!..
 
Khaaa, jamani preta mbaya kweli...kumbe kayapeleka kwa mtu chake? Ole wake nimkamate..

Usijali ntakupitishia shati na sarawili kesho asubuhi na mapema!

Preta yaani Preta si wa kumwamini tena. Naingojea hiyo sarawili kwa hamu. Fanya ovasaizi kabisa ili hutu tumwili tukiongezeka panapo Pasaka nisiingie hasara kununua nyingine.
 
Kweli shem..

Uwe unampeleka bana shemeji, dunia yako chaguo lako chagua kumpeleka mkeo saluni na kumsubiri mpaka amalize kutengeneza nywele!..

au achague kumsuka mwenyewe,..
 
Kweli shem..

Uwe unampeleka bana shemeji, dunia yako chaguo lako chagua kumpeleka mkeo saluni na kumsubiri mpaka amalize kutengeneza nywele!..

Alafu ! Shem acha basi usanii wa kukwepakwepa maswali yangu , rejea kule kwenye Sredi ya "wachakachuaji Sredi"
ukajibu !
Naona kila nikikuweka kwenye 18 zangu unavunga kunipiga dobo!
Rudi kule ujibu!
 
mambo poa Canta, Rejao pua ndefu hajambo?

Canta!
Sijakutia machoni masiku mob !
Mazee Rejao ako poa ?
Na Manzi yangu akikuja hapa sukumia yeye magriting!

Papa rejao hajambo kbs,kapumzika anajianda kupata cha ucku hapa!

mie mzima,ni kweli nimedimika kidogo,c unajua mimba changa inavosumbua!papa rejao mme wangu hajambo kbs,ucjali nikimuona mkeo nitampa hai!
Watu mbona mnapenda sana kumsumbua my wife? ebooo!!
 
Preta yaani Preta si wa kumwamini tena. Naingojea hiyo sarawili kwa hamu. Fanya ovasaizi kabisa ili hutu tumwili tukiongezeka panapo Pasaka nisiingie hasara kununua nyingine.

why why why why......
 
aisee huyo mtu yupo kweli.

hivi Mwali inawezekana bebii yako hujui alipo?
Kuna siku alianzisha thread ya kusema atapotea miezi 9.
Tukadhani utani tu, tukamuaga kwa kumtania
wengine wakisema ni mimba, wengine wakisema kafungwa.
Sasa naona imesha kua kama wiki mbili, no post.
Amenigongea ka like kwa mbaliiii ila simuoni online...:thinking:
 
Back
Top Bottom