Mwaka 2012 dunia ni yako, chaguo ni lako, chagua kupigania haki yako epuka uoga usiokuwa na manufaa.

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Mwaka 2012 chagua kudai haki yako na kulinda raslimali za taifa zisiporwe na wahuni wachache kwa manufaa yao binafsi. Mtanzania unapaswa kufunguka na kutoka kwenye chupa. Haki ya mtu haiombwi bali inadaiwa na kupiganiwa ili mradi amani itawale. Epuka uoga ambao hauna manufaa kwa taifa lako.
 
2012 dunia yako chaguo lako , chagua kufanya kazi kwa bidii epuka lawama zisizo na msingi,lipa kodi piga vita rushwa.
 
Back
Top Bottom