Dunia yako....Chaguo lako...

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Mara ya kwanza nilimsikia Sofia Simba akiimba hili tangazo ya Dunia yako.....nikaona huyu kwa hulka yake, linamfaa
Baadae nikamsikia Kingwendu....nikajua tangazo limekaa kisanii so nalo nikachukulia poa...
He! Ghafla namsikia M.KWERE nae anaimba Dunia yako, chaguo lako...Nikasikitika mara 1000.

Hili tangazo lina umuhimu gani? Mi naona ni ****** tu. Eti mtu anakwambia chagua kuwa msanii!! Sasa kama sina kipaji je?

Clouds, kwenye hili tangazo mmechemka!!!!
 
nafuu wangesema...
chagua kuiweka JF hewani.....
chagua kuchangia JF....mkono mtupu haulambwi......
 
Jina langu naitwa Gwakurude Lake-tale ni mbunge na Mlinda kondoo wa bwana,nipo tayari kuwaacha kondoo 99 na kumsaka 1 hadi nimpate.
Mwaka 2012 chagua kujenga ndoa yako kabla hujakarabati ya jirani yako,acha kabisa kutembelea mitandao ya kijamii kwani huko ndiko siri za vigogo huanikwa na shetani. Chagua kupunguza unene kwa gharama yoyote ile.
 
JK aliingizwa chaka ..hata zito naye nilimsikia akiimba chagua sijui vinini huko kuwa wazi ..nani atachagua kuwa wazi bana
 
Mwaka unazeeka wao Clouds bado wanaupamba na upya

Hakika hakuna kitu kinachoniuzi kama hilo tangazo na MJKWERe,ningekuwa na uwezo ningemshtaki kwa ubadhirifu wa mali ya umma na kutumika kibiashara na clouds kwani yeye ni raisi wa nchi na hattakiwi kujihusisha kutangaza biashara ya kampuni binfsi, kwa nini hakwenda tbc?? Haonni kuwa hajavitendea haki vyombo vingine vya habari?? Au atasema kisa hawajamuomba aende kutengeneza jingle?? Pumbavuuuu!!!
 
Lile tangazo kuna kipindi lilikuwa linaniboa, ila nilipokuja kulitafakari naona kuna ujumbe mzuri ndani mwake. Nadhani wanajaribu kujenga kufanya maamuzi sahihi kwa Jamii.. Siyo Jei Kei tu, hata Askofu Kilaini nimewahi kumsikia.. Siyo kila wanachokifanya Clouds ni kibaya jamani.

Naitwa TANMO wa Jei Efu, dunia yako chaguo lako. Chagua kuwa mfano bora kwa Jamii na kujenga misingi imara ya Upendo na wote wanaokuzunguka.
 
Mie cjalickia lakn nadhan lina ujumbe mzuri ikiwa Rais ameshiriki kulitengeneza! 'dunia yako, chaguo lako! chagua kuyakubali mazuri hata kama yanatoka kwa unayemchukia'
 
Cha ajabu leo asbuhi nmemsikia mpaka Askof Method kilaine....naye ndani ya tangazo ..huyu mzee ndo sababu tulimhamisha DAR.
 
Dudu baya anasema chakugua kukaa mbali na wachokozi ucjekuwapiga ukajakushnda mahakamani...uwa nacheka nikimskia.
 
Dudu baya anasema chakugua kukaa mbali na wachokozi ucjekujikuta unawapiga nakushnda mahakamani...uwa nacheka nikimskia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom