nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,664
nackia mtu mwenye majukumu mshahara wa ofc haumtoshi, huyo dada ni mjasiriamali, jembe
mwenzio nimepata aibu ya mwaka nikiwa na mama mkwe wangu. .
Si ndo nashanga!!!!jirani yako akiwa jambazi unaona aibu wewe?
sasa wee aibu imekujaje?
Mkeo huyo au nani yako??
Si ataaibika kama kawaida yakeUchangu afanye mwanamke na ukimkuta jirani yako li baba zima linawania mwanao utasemaje?
Yaani ujanja wote mjini unapita hiyo njia na mkeo na mama mkwe. Watahisi ndo njia yako uliyozoea labda kuchukua malaya. Wenzio tunazungukaga mwenge.
Sio Ajabu
sababu hawa ambao tupo nao maofisini ndio Hattari zaidi kuliko hata wakununua ..
Nilishawah kumfatilia Dada ivi wa office flani JMall akaniambia una Hela Ama unaleta Mapenz ya Kuganda akataka Dola 500 for 2days (weekend) . Nilichoka
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
mi ningependa kujua nani alikaa mbele kati ya mama na mke hata mimi nina ugeni soon