Dr. Ulimboka live star tv: Afafanua Wizara ilivyosababisha Mgomo

arifu huyu ni DR shujaa kiongozi wa madaktari wanaodai haki zao...

Kuna maDr. wameamua kubeba masindano na kurudi kazini hawa wanao saliti mgomo tuwachukulie vyeti vyao ni vya kugushi au walibebwa kitaaluma?
 
Siku ukiungua moto baada ya nyumba yako kuwaka moto na faya kuja kuzima wakati haina maji, wakabaki wakikuangalia ukiungua moto mpaka wananchi walipokunasua, na kukupeleka hospitali, ukafika hospital na kukuta madaktari wapo, na vifaa vya kukuhudumia kiufasaha hayo majeraha yako ili upone haraka havipo, na ukawa unajiona mwili wako ukiendelea kuoza, Ndipo utakapojua muuaji ni nani, serikali au daktari?

Achana naye huyo mkuu!! Anaonekana hajui alitendalo!!
Nirudi kwenye maada, huu ni wakati wa kuwaambia live hawa viongozi wetu ili waone wapi watakimbilia siku nchi itakapokuwa kwa watu wenye kutumikia taifa badala ya wao.
 
serikali haithamini haki za binadamu hawajali maslai ya wananch wametenga mabilioni kwenye vazi la taifa ambalo halina tija yoyote, fedha hizo za vazi la taifa zitumike kwenye utatuzi wa malalamiko ya madaktari
 
Siku hiyo inakuja!! I can see it!
 
Achana naye huyo mkuu!! Anaonekana hajui alitendalo!!
Nirudi kwenye maada, huu ni wakati wa kuwaambia live hawa viongozi wetu ili waone wapi watakimbilia siku nchi itakapokuwa kwa watu wenye kutumikia taifa badala ya wao.

Hata wao wameshaliona hilo, na ndo maana wana fast track suala la uraia wa nchi mbili, ili siku pakinuka wakimbilie huko watakako kuwa na uraia nako pia!!
 
dr ulimboka anaombwa kukutana na waziri mkuu amesema kimsingi wameshatoa tamko kuwa wako tayari kukutana na serikali muda wowote na wanasubiri tamko la serikali bungeni.
 
Siku ukiungua moto baada ya nyumba yako kuwaka moto na faya kuja kuzima wakati haina maji, wakabaki wakikuangalia ukiungua moto mpaka wananchi walipokunasua, na kukupeleka hospitali, ukafika hospital na kukuta madaktari wapo, na vifaa vya kukuhudumia kiufasaha hayo majeraha yako ili upone haraka havipo, na ukawa unajiona mwili wako ukiendelea kuoza, Ndipo utakapojua muuaji ni nani, serikali au daktari?

Achana nae, ndo uwezo wake ulipoishia! anataka kututoa kwenye mada!
Tafadhali endelea kutujuza...

Kuna maDr. wameamua kubeba masindano na kurudi kazini hawa wanao saliti mgomo tuwachukulie vyeti vyao ni vya kugushi au walibebwa kitaaluma?
aisee hao madr waliorudi unawasemea wale wa Cape Verde au Msumbiji?
 
serikali haithamini haki za binadamu hawajali maslai ya wananch wametenga mabilioni kwenye vazi la taifa ambalo halina tija yoyote, fedha hizo za vazi la taifa zitumike kwenye utatuzi wa malalamiko ya madaktari
raisi wako anazindua mabenki tu....jama anapenda sana kukata utepe.....
 
Siku ukiungua moto baada ya nyumba yako kuwaka moto na faya kuja kuzima wakati haina maji, wakabaki wakikuangalia ukiungua moto mpaka wananchi walipokunasua, na kukupeleka hospitali, ukafika hospital na kukuta madaktari wapo, na vifaa vya kukuhudumia kiufasaha hayo majeraha yako ili upone haraka havipo, na ukawa unajiona mwili wako ukiendelea kuoza, Ndipo utakapojua muuaji ni nani, serikali au daktari?

Yaani mkuu wa Tanzania wengine bado wana fikra mgando sana!eti mtu na akili zake anawaza hao wachochezi tunawaachia serikali wawashughulikia,hajui hata umuhimu wa madai ya serikali!
 
Siku ukiungua moto baada ya nyumba yako kuwaka moto na faya kuja kuzima wakati haina maji, wakabaki wakikuangalia ukiungua moto mpaka wananchi walipokunasua, na kukupeleka hospitali, ukafika hospital na kukuta madaktari wapo, na vifaa vya kukuhudumia kiufasaha hayo majeraha yako ili upone haraka havipo, na ukawa unajiona mwili wako ukiendelea kuoza, Ndipo utakapojua muuaji ni nani, serikali au daktari?
Acha vitisho visivyokuwa na kichwa wala mguu. Kazi kuwapa kichwa kina Ulimboka ambao sasa wanatafuta huruma yetu wananchi(eti sasa wanadai vitendea kazi, hata wasipoongezwa mishahara na posho) na ww mmoja wapo wamekutisha na sasa unajaribu kuwatisha wengine. Acheni uchochezi, madhara yake hayachagui, yatatuathiri sote.
 
Right strategy, serikalim ilikimbila katika vyombo vya habari ndio maana ikapata sympathy ya watanzania wengi.
 
Kipi rahisi, madaktari woote waende anatouglo wakati wameshakusanyika DB kumfuata waziri au Waziri aende hapo DB?
Hakuna ambacho ni rahisi katika hayo mawili. Kila mkutano lazima uwe na mutually pre-scheduled commitment of appearance, time and place, hamuwezi kuzuka tu kundi moja likasema sisi tumekusanyika Uwanja wa Fisi njoo huku, mwingine akajibu mi nimeshukia hapa Kwa Mfuga Mbwa, geuzeni njooni huku. Hii inakuonyesha pande zote mbili ni zembe na zina run on BPT, black people's time.
 
Acha vitisho visivyokuwa na kichwa wala mguu. Kazi kuwapa kichwa kina Ulimboka ambao sasa wanatafuta huruma yetu wananchi(eti sasa wanadai vitendea kazi, hata wasipoongezwa mishahara na posho) na ww mmoja wapo wamekutisha na sasa unajaribu kuwatisha wengine. Acheni uchochezi, madhara yake hayachagui, yatatuathiri sote.

Ulitazama taarifa ya habari jana ITV? Wagonjwa wanaunga mkono mgomo. Mmoja waziwazi alisema haogopi kufa wala kufungwa anawasisitiza madaktari kupigania haki yao hadi mwisho, sasa wewe wa wapi?
 
Serikali ya magamba ni tatizo wana lipukaga tu kuzima vitu yaani wako kama gesi ya kupikia inakatika bila hata ww unayetumia kujua
 
Back
Top Bottom