Right thread.Swali linajibiwa sasa. JF haikusajiliwa Tanzania. Mmiliki hajulikani.
Nani ni muuaji kati ya madoctor na serikali?we utakuwa kibarakaSiku hizi umeme ni ghali, kwa hivyo tunawasha Tv. kuangalia vipindi muhimu tu zikiwemo taarifa za habari. Hao wachochezi na wauwaji tumeiachia Serikali iwashughulikie.
Siku hizi umeme ni ghali, kwa hivyo tunawasha Tv. kuangalia vipindi muhimu tu zikiwemo taarifa za habari. Hao wachochezi na wauwaji tumeiachia Serikali iwashughulikie.
-Unakwenda JKT kabla haujawa "professional"
-Hayo mengine yanadhihirisha haukwenda JKT. Kama kuna mahala pnajenga confidence ya mtu kuliko JKT sijui.
Mi siongeziSio kweli unayosema. Ni wewe na wenzio ambao mlitoka form six mkaenda jeshini ukadhani kila mtu ni hivyohivyo. Au labda wewe hukwenda kabisa, umehadithiwa tu. Kuna wanaotoka vyuoni na wengine kazini na professions zao ambao walikuwa wanaenda JKT (jeshi la Kuhujumu Taifa). Kama una kumbukumbu nzuri, intake ya Januari ilikuwa kwa ajili ya waliotoka kazini na vyuoni ambapo mchanganyiko ulikuwepo kwa intake ya Juni. Kanusha!
Utakuwa mwenye bahati sana kama JKT ilikujengea confidence. Mahali ambapo unatakiwa kutumia asilimia 98 nguvu na akili asilimia 2 panajenga confidence gani hapo? Na ukweli unaonekana kwenye vitendo vyenyewe JKT. .
Badala ya kwenda kuongea na Serikali alikoitwa, anakuja kutafuta huruma za wananchi. Ujinga mtupu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Madaktari Tanzania
Usitumie hilo neno haliwafai.Mbona tuliambiwa yuko mafichoni? eti usalama wa Taifa wanamtafuta!!!!!!!!!! Hivi kwenye TV hawawezi kumpata au ilikuwa ni kuwapaka matope majasusi hao wa TISS?
huwezi hata siku moja kujua utamu wa ngoma mpaka ucheze.JKT ni:
-mahali pa ku-brainwash professionals
-mahali pa kupeana ujinga kuwa wewe ni mtu muhimu hali unadharaulika na jamii inakyokuzunguka.
-ni mahali panapokufanya upoteze confidence ya kusimamia kile unachokiamini.
-ni mahali panapokufanya ujenge nidhamu ya woga kwa kiongozi yeyote anayekuongoza.
Swali linajibiwa sasa. JF haikusajiliwa Tanzania. Mmiliki hajulikani.
We ni kilaza endelea na kazi uliyopewa na ma bwana zako. Stupid Raia mwemaMbona tuliambiwa yuko mafichoni? eti usalama wa Taifa wanamtafuta!!!!!!!!!! Hivi kwenye TV hawawezi kumpata au ilikuwa ni kuwapaka matope majasusi hao wa TISS?
ni mahali unapopewa kozi ya kuwa fisadi kiufasaha.JKT ni:
-mahali pa ku-brainwash professionals
-mahali pa kupeana ujinga kuwa wewe ni mtu muhimu hali unadharaulika na jamii inakyokuzunguka.
-ni mahali panapokufanya upoteze confidence ya kusimamia kile unachokiamini.
-ni mahali panapokufanya ujenge nidhamu ya woga kwa kiongozi yeyote anayekuongoza.
yaani ww ni mbumbuu halafu hujijui...........ni vizuri ukauliza kwanza kabla ya kupost utumbo unaopotosha.Sio mwenyekiti wa madaktari Tz bali ni mwenyekiti wa kamati maalum ya mgomo.
Kumbuka Ulimboka mwaka 2003 aliongoza mgomo wa madaktari huko Tanzania akiwa yeye na Hamis Kingwangala na wote walifukuzwa kabla kusamehewa na kumaliza shule zao. Na wote hawajafanya intern.
Wakti huo 2003, Dr Ulimboka alikuwa Rais wa Tz Med student association (TAMSA) na Kigwangala alikuwa Rais wa Mihimbili med student association
sio kweli unayosema. Ni wewe na wenzio ambao mlitoka form six mkaenda jeshini ukadhani kila mtu ni hivyohivyo. Au labda wewe hukwenda kabisa, umehadithiwa tu. Kuna wanaotoka vyuoni na wengine kazini na professions zao ambao walikuwa wanaenda jkt (jeshi la kuhujumu taifa). Kama una kumbukumbu nzuri, intake ya januari ilikuwa kwa ajili ya waliotoka kazini na vyuoni ambapo mchanganyiko ulikuwepo kwa intake ya juni. Kanusha!
Utakuwa mwenye bahati sana kama jkt ilikujengea confidence. Mahali ambapo unatakiwa kutumia asilimia 98 nguvu na akili asilimia 2 panajenga confidence gani hapo? Na ukweli unaonekana kwenye vitendo vyenyewe jkt. Afande akikupa push-up anakwambia kuwa yeye darasa la saba ni kubwa kuliko form six hivyo akisema down - wewe uende juu na akisema chini ndipo uende chini. Hivyo amri inakuwa: Down - chini! Kweli unapata confidence si ya kawaida.
Kikubwa jkt ni ubabaishaji, utegaji, ujingaujinga (ujanja-ujanja wa wajinga). Ukidadisi, ubabaishaji ulioko nchini mwetu na hasa serikalini umetokana na watu kupelekwa jkt na vilevile kuwa na watawala wengi (wakuu wa mikoa, wilaya) ambao ni wanajeshi. Heri yao ambao hawaendi kupoteza muda wao jkt na kuishia kulihujumu taifa. Chuo kikubwa kabisa cha ufisadi unaouona leo ni jkt. Udokozi na wizi (wa kutumia ujanja) unaousikia leo chanzo kikubwa ni hukohuko. Mahali ambapo bwana mifugo anaweza kutibu watu kama daktari, mwalimu kuwa mhandisi wa maji - hakuna ubabaishaji kama huo.
Uliona wapi watu wenye nguvu wakalima mwaka mzima maeneo makubwa kuliko viwanja vya ndege (mashamba mengine yakiitwa embakasi), na mvua ikanyesha vizuri, wakavuna na bado wanaagiza/wananunua chakula ili kujikimu? Ndiko kujenga taifa huko au kuhujumu? Na hali hiyo wewe bado inakujengea confidence. Kweli una moyo!
Unapataje confidence kwa kuamshwa wakati wowote ule, kupewa adhabu kama mzaha, kwa kutii (kwa lazima) kila kitu. In zaidi ya ufungwa maana hakuna kanuni za siku hadi siku. Ukinionyesha jkt inayojenga cofidence nami nitakuonyesha utumwa unamfanya mtu awe mfalme.
Sio kweli unayosema. Ni wewe na wenzio ambao mlitoka form six mkaenda jeshini ukadhani kila mtu ni hivyohivyo. Au labda wewe hukwenda kabisa, umehadithiwa tu. Kuna wanaotoka vyuoni na wengine kazini na professions zao ambao walikuwa wanaenda JKT (jeshi la Kuhujumu Taifa). Kama una kumbukumbu nzuri, intake ya Januari ilikuwa kwa ajili ya waliotoka kazini na vyuoni ambapo mchanganyiko ulikuwepo kwa intake ya Juni. Kanusha!
Utakuwa mwenye bahati sana kama JKT ilikujengea confidence. Mahali ambapo unatakiwa kutumia asilimia 98 nguvu na akili asilimia 2 panajenga confidence gani hapo? Na ukweli unaonekana kwenye vitendo vyenyewe JKT. Afande akikupa push-up anakwambia kuwa yeye darasa la saba ni kubwa kuliko form six hivyo akisema down - wewe uende juu na akisema chini ndipo uende chini. Hivyo amri inakuwa: Down - chini! Kweli unapata confidence si ya kawaida.
Kikubwa JKT ni ubabaishaji, utegaji, ujingaujinga (ujanja-ujanja wa wajinga). Ukidadisi, ubabaishaji ulioko nchini mwetu na hasa serikalini umetokana na watu kupelekwa JKT na vilevile kuwa na watawala wengi (wakuu wa mikoa, wilaya) ambao ni wanajeshi. Heri yao ambao hawaendi kupoteza muda wao JKT na kuishia kulihujumu taifa. Chuo kikubwa kabisa cha ufisadi unaouona leo ni JKT. Udokozi na wizi (wa kutumia ujanja) unaousikia leo chanzo kikubwa ni hukohuko. Mahali ambapo bwana mifugo anaweza kutibu watu kama daktari, mwalimu kuwa mhandisi wa maji - hakuna ubabaishaji kama huo.
Uliona wapi watu wenye nguvu wakalima mwaka mzima maeneo makubwa kuliko viwanja vya ndege (mashamba mengine yakiitwa Embakasi), na mvua ikanyesha vizuri, wakavuna na bado wanaagiza/wananunua chakula ili kujikimu? Ndiko kujenga taifa huko au kuhujumu? Na hali hiyo wewe bado inakujengea confidence. Kweli una moyo!
Unapataje confidence kwa kuamshwa wakati wowote ule, kupewa adhabu kama mzaha, kwa kutii (kwa lazima) kila kitu. In zaidi ya ufungwa maana hakuna kanuni za siku hadi siku. Ukinionyesha JKT inayojenga cofidence nami nitakuonyesha utumwa unamfanya mtu awe mfalme.
Jembe linaelezea jinsi mgogoro mzima ulivyoanza, kwamba mgogoro huu haukuanza kwa mgomo. Anaelezea jinsi viongozi walivyokuwa wanakataa kuonana na madaktari. Waziri aliombwa aje Donbosco kuonana na madaktari, akasema kama wanataka kuonana nae waende anatouglo. Anadhihirisha jinsi viongozi akiwemo waziri, walivyo engineer who mgomo. Kipi rahisi, madaktari woote waende anatouglo wakati wameshakusanyika DB kumfuata waziri au Waziri aende hapo DB?