Inawezekana Dr Slaa ana madhaifu mengi kama walivyo binadamu wengine. Ila sisi vijana tunataka change, na mtu anayeweza kuwa vehicle of change kwa sasa ni Dr Slaa. Hata kama hatakuwa kiongozi mzuri, kazi ya kuivunja system na kuijenga upya inatosha. Jeshini, mahakama, usalama wa taifa, polisi, magereza, uhamiaji, balozi na sekta nyingine, pandisha madaraka vijana wachapa kazi na kuwaondoa watu waliowekwa kwa vile watoto wa fulani. Ondoa mizee conservative inayokwamisha maendeleo, weka vijana wazuri.Hilo tu linatosha.