Dr. Slaa shujaa wa Vita dhidi ya Ufisadi awasili Arumeru; Apokewa na maelfu akimnadi Joshua

attachment.php
 
Wassira sijui anafanya nini pale ikulu. Mii siku nikikutana nae namtandika jiwe ili akafanyiwe plastic surgery awe handsome??
 
Ee Mungu nipe maisha marefu nimuone huyu shujaa akiapishwa 2015 kuwa Rais.Baada ya hapo unaweza kuchukua roho yangu kwa amani.
 
Mkuu usipoteze muda wako kubishana na huyo Kengemaji tuko naye hafurukuti. Anapima tu akili za watu, he is a politician in such, therefore hana mlango wa kuikimbia/kuchukia siasa.

thanx mkuu,duh huyu KENGE hata siasa hajui maskini
 
Tumechoka kuwaona mara WASIRA kasema hivi...mara huyu DR.SLAA ndiyo Rais wetu! zote hizi ni mbwembwe za kampeni tu...Ikifika siku ya uchaguzi ndiyo tutaju bana tumechoka hizi thread zenu za muwamba ngozi.
 
Mkuu Kengemaji,
Kuna jukwaa linaitwa Chitchat au MMU nadhani zitakufaa sana

Tumechoka kuwaona mara WASIRA kasema hivi...mara huyu DR.SLAA ndiyo Rais wetu! zote hizi ni mbwembwe za kampeni tu...Ikifika siku ya uchaguzi ndiyo tutaju bana tumechoka hizi thread zenu za muwamba ngozi.
 
Tumechoka kuwaona mara WASIRA kasema hivi...mara huyu DR.SLAA ndiyo Rais wetu! zote hizi ni mbwembwe za kampeni tu...Ikifika siku ya uchaguzi ndiyo tutaju bana tumechoka hizi thread zenu za muwamba ngozi.
kama umechoka usizisome fanya shughuli nyingine au anzisha yako
 
Tumechoka kuwaona mara WASIRA kasema hivi...mara huyu DR.SLAA ndiyo Rais wetu! zote hizi ni mbwembwe za kampeni tu...Ikifika siku ya uchaguzi ndiyo tutaju bana tumechoka hizi thread zenu za muwamba ngozi.
kama umechoka unaingia JF kufanya nini ? na kushauri pumzika na familia yako salama hapa waachie wenye nguvu
 
Back
Top Bottom