Dr. Slaa shujaa wa Vita dhidi ya Ufisadi awasili Arumeru; Apokewa na maelfu akimnadi Joshua

Wassira sijui anafanya nini pale ikulu. Mii siku nikikutana nae namtandika jiwe ili akafanyiwe plastic surgery awe handsome??

Unarudia makosa yale yale. Wassira amefanya personal attack badala ya kuuza sera, na wewe unalipiza personal attack badala ya kujibu/kuchangia hoja
 
CHADEMA ni waadilifu sana, hakuna sababu ya kumtandika jiwe. Atatandikwa na sera makini za CDM tu.

Wassira sijui anafanya nini pale ikulu. Mii siku nikikutana nae namtandika jiwe ili akafanyiwe plastic surgery awe handsome??
 
Wassira sijui anafanya nini pale ikulu. Mii siku nikikutana nae namtandika jiwe ili akafanyiwe plastic surgery awe handsome??

Pale si ndio wageni wazito wazito huwa wanaanzia mara mabalozi, wafanyabiashara wakubwa,mara mtoto wa mfalme so ni moja tu ya vivutio kuonyesha jinsi tulivyo na rasilimali nyingi.
 
Jaman hata yeye hakujua atazaliwa vile ingekua kuna kuchagua mbona kila mtu angekua mr and miss world
 
kama watu walio ikulu wapo hivi(na wanatumika na wanachama wao as role modal)-hao wanachama wao sijui wapoje-
 
Inawezekana Dr Slaa ana madhaifu mengi kama walivyo binadamu wengine. Ila sisi vijana tunataka change, na mtu anayeweza kuwa vehicle of change kwa sasa ni Dr Slaa. Hata kama hatakuwa kiongozi mzuri, kazi ya kuivunja system na kuijenga upya inatosha. Jeshini, mahakama, usalama wa taifa, polisi, magereza, uhamiaji, balozi na sekta nyingine, pandisha madaraka vijana wachapa kazi na kuwaondoa watu waliowekwa kwa vile watoto wa fulani. Ondoa mizee conservative inayokwamisha maendeleo, weka vijana wazuri.Hilo tu linatosha.

Mfahamu vizuri kwanza ndiyo uje utashawishi usikurupuke tu na kajaribu kututaka tukubali unavyotaka wewe.
 
Dr Slaa jembe bwana ona hiyo nyomi watu Arusha na sisi hapa Mwanza tulifunika jana kama kawa,kaudiwani ketu tunasubiri kuapishwa tu.
 
Baba Mzazi wa kamanda Nassari amekanusha kile ambacho

alichosema wassira ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM

alisema kwamba mgombea ubunge wa Chadema,Joshua Nassari

hafai kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kuwa ni kijana mkorofi na

mara kwa mara baba yake mzazi amekuwa akimsihi kuachana na

ukorofi tangu wakati akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam.Alisema

kwamba baba wa mgombea huyo ambaye ni kiongozi wa dini

amekuwa akimsihi kuachana na ukorofi ikiwa ni pamoja na kuoa ili

aweze kutulia lakini cha ajabu Nassari amekataa.

Baba mzazi wa Nassari,kaeleza kuwa Nasari mtoto wake ni

mwadilifu toka yupo kibaha sec hadi chuo kikuu Dsm.

Je !!! Raisi mstaafu mkapa pamoja na Waziri wa serikali

kuendelea kuwadanganya wananchi wa meru,wataaminika vipi kwa

wananchi wa meru ??? inatufanya tujenge hoja hata ahadi

wanazotoa ukweli wake unatia shaka kabisaa ??

CCM wamelewa!
 
Pale si ndio wageni wazito wazito huwa wanaanzia mara mabalozi, wafanyabiashara wakubwa,mara mtoto wa mfalme so ni moja tu ya vivutio kuonyesha jinsi tulivyo na rasilimali nyingi.

Mkuu ina maana Tyson amekuwa kivutio kama wale Twiga waliopelekwa Qatar? JF haiishi misamiati.
Ile familia ya kifalme si ije imchukue na yeye kwa ajili ya kuvutia world cup 2022?
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom