johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,020
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema Utafiti uliofanywa na Kampuni ya Kimataifa kuelekea uchaguzi wa 2015 ulionyesha Vita dhidi ya Ufisadi ni Kipaumbele namba 8 au 9.
Kwamba palikuwepo na Kipaumbele namba 1,2,3... na 8 au 9 ndio kilikuwa Vita dhidi ya Ufisadi
Kwahiyo Wapiga kura walikuwa na mambo 7 waliyohitaji kuliko Vita ya Ufisadi na kwa maana Hiyo Sera ya Chadema na maono ya mgombea wetu hayakuendana na Matamanio ya Wapiga kura kwa Wakati huo ie 2015
Ndio tukaamua kumkaribisha mzee Lowassa aliyesheheni Matamanio ya Wapiga kura, amesema Tundu Lisu
Credit: The Big Agenda Star tv