Dr. Slaa, Mnyika na Lema kukamatwa na Polisi wakati wowote kuanzia Leo

Hawa polisi wa bongo njaa zitawaua,sio objective kabisa,bt wanatusaidia CDM kupata publicity ya bure na sympathy kwa wananchi wazalendo.hili ndo tatzo la vyeo vya kupewa na si kuchaguliwa,Mwema, Zoka, Othamani na Nchimbi wanalipa fadhira kwa jk.
 
Nchimbi ni waziri kijana, nilidhani angeonesha 'usasa' kwenye uongozi, lakini sina hakika kama hii hatua iliyochukuliwa (kama ni kweli) dhidi ya Mnyika inatofautiana na mawazo ya kizamani. week mbili hakuna aliyekamatwa kuhusiana na mkasa wa Dr Ulimboka, iweje awe na haraka sasa hivi?
 
hawana mwamvuli??!!!......nimeikubuka ile thread sijui iko wapi?
 
Kuna taarifa au tetesi kuwa habari zimeshaenea Daresalam yote na watu wameanza kujipanga wakiwa na magongo na kila walicho nacho tayari kwa lolote ,ni hatari ! Sijui mikoa mingine vipi ,habari zinaenea kwa wepesi kama giza linapoingia :spy:
 
Back
Top Bottom