Dr. Slaa, Mnyika na Lema kukamatwa na Polisi wakati wowote kuanzia Leo

Wakiwakamta watawapeleka wapi,kama ni sero niambieni ili nitangulie huko maana patakuwa salama kuliko huku uraiani
 
Wajaribu kama LYBIA ajahamia Tanzania. Si wanadai wana JESHI na POLISI haya tuone kama wataeweza UMMA. Washenji sana hawa ma Polisi na Jeshi letu. Ndio maana yakusoma skuli ya KATA kweli haasa wengi wao awana Skuli kabisa ukitaka kujua cheki cheti chao. BURE KABISA SERIKALI HII. TUNAWASUBIRI SANA KWA HAMU WAJARIBU. Naona THE HAGUE inanukia BONGOLAND.

wanajeshi unawaonea, tena wako nyuma yenu kwani ndo waajiliwa wenu, ndo maana linaitwa JWTZ, wanasubiri mlianzishe tu nao wamechoka, ila hawana pa kusemea. si mnaona hata misri kwani jeshi lilifanya nini zaidi ya kuacha wanachi waandamane, na tena ndo walishika nchi kwa muda kabla ya uchaguzi. wabaya wa wanachi ni Polisi, na UWT- SSEM, Jeshi linasubiri tu mkilianzisha hao wote wanakamatwa tia ndani wanashika hatamu,
 
Usipende kuanzisha mada kishabiki ilihali ushahidi unao, nikupe mifano michache inayowafanya watu wenye akili timamu wasiliamini Jeshi la Polisi japo kuwa wapo kwa mujibu wa Sheria.....
This is what i'm talking ABOUT.
wangeweka vitufe viwili vya LIKE, ningekugongea tena.
 
Wakati unaenda mitamboni wapi? wakati unasema umekopy mwanahalisi?

Huu ni uhandishi gani? ndo tatizo kusoma shule za kata

Mkuu JeyKey,
Kwenye redi hapo...Naomba unifafanulie, mwenye tatizo hapa ni nani? Ni wewe au Mikael P. Aweda!...Kama wewe ni mwandishi na msomi makini, utagundua kuwa hiyo para yote, Aweda kainukuu kutoka Mwanahalisi, so hii inamaanisha kuwa, ni mwanahalisi ndo walikuwa wanenda mitamboni...Na kwa kukuthibitishia kuwa siyo maneno ya Aweda ndo maana mwisho ameweka take yake....Sasa nani kasoma shule ya kata! Hebu tuwe makini katika kutupa madogo, chunguza jiridhishe na ndo utupe dongo lako otherwise unawezajikuta maandiko yako yanakufanya uonekane ni mtu asiye makini. Samahani sana kama nitakuwa nimekosea ila nilidhani ni vema nikaweka mambo sawa...Ubarikiwe na Bwana ndugu yangu JeyKey...
 
Siku za karibuni nilisikia haya na nikadhani ni mzaha:

a) Bunge likiwa linajadili Bajeti za Wizara, wabunge wa CCM wanaweka mkazo kuzungumzia maoni ya Kambi ya Upinzani.
b) Chadema ikiwafanya mikutano (Operation Sangara na M4C) Nape anafuta nyuma sehemu zilezile.
c) Muswada wa Katiba Mpya uliopitishwa Bungeni ulifanyiwa marekebisho ku-address hoja za CHADEMA.

Sasa hii ya Dr. Slaa kusema wakitaka kuongea nae wamkamate na kama ni kweli watamkamata - ni dhahiri Serikali na CCM are dancing to the tunes of DHADEMA.
 
Hii nchi hii!? enhe wakiwakamata watawaambia nini!? kama wamefanya kosa kisheria mahakama si zipo wazi!? lets wait and see!

Naomba mungu tuzichape kidogo tufe wachache icc waje wawachukue akina jee keyi waende wakakae na akina charles taylor
 
Ni mwendelezo wa kuwaonyesha wananchi kwamba jeshi la polisi ni wababe!!!!

Ngoma ikilia sana mwisho hupasuka
 
Naomba mungu tuzichape kidogo tufe wachache icc waje wawachukue akina jee keyi waende wakakae na akina charles taylor

viongozi wa vyama vya upinzani wataungana nao ICC kwa ghasia na uchochezi nchini... ICC haijali kwamba upinzani ndio waliopeleka kesi wao wanatenda haki.
 
Mkuu JeyKey,
Kwenye redi hapo...Naomba unifafanulie, mwenye tatizo hapa ni nani? Ni wewe au Mikael P. Aweda!...Kama wewe ni mwandishi na msomi makini, utagundua kuwa hiyo para yote, Aweda kainukuu kutoka Mwanahalisi, so hii inamaanisha kuwa, ni mwanahalisi ndo walikuwa wanenda mitamboni...Na kwa kukuthibitishia kuwa siyo maneno ya Aweda ndo maana mwisho ameweka take yake....Sasa nani kasoma shule ya kata! Hebu tuwe makini katika kutupa madogo, chunguza jiridhishe na ndo utupe dongo lako otherwise unawezajikuta maandiko yako yanakufanya uonekane ni mtu asiye makini. Samahani sana kama nitakuwa nimekosea ila nilidhani ni vema nikaweka mambo sawa...Ubarikiwe na Bwana ndugu yangu JeyKey...

Jey Key yuko kazini na mara zote husoma habari inayomzungumzia mwajiri wake upside-down / leftside right.Asipofanya hivyo mkono wake hautaenda kinywani.
 
Binafsi nitafurahi wakifanya hivyo sababu itazidi ku-prove how stupid the police force is... Do it do it, sirikali izidi kujichimbia kaburi! Kweli hawa watu wa mabwepande ni kama wamelewa hawana insight kabisa.... eee Mwenyezi Mungu usiwasaidie..
 
Watakamatwa watapewa umaarufu mara dufu wataachiliwa..tumeshawazoea

Yani wewe umewaza umaarufu tu. Je hatari inayoweza kuwapata? Slaa kapropaganda umma kuwa anatakiwa kufanyiwa kama alivyokuwa amefanyiwa mwaktembe kitu ambacho tunaamini ni sumu, je slaa akipuliziwa sumu kama anavyojihofia. Umaarufu mwingine mnaoutafuta siyo. Huo ni upogo
 
Back
Top Bottom