Dr. Slaa, Mnyika na Lema kukamatwa na Polisi wakati wowote kuanzia Leo

Nchimbi tunataka uwa arrest wale majahiri waliomteka na kumtesa Dr. Ulimboka. Sio innocent MP Mnyika. Tumia hata akili kidogo ya PhD yako ya online basi.
 
Hivi kama Mnyika ametoa tuhuma na akasema hana imani ya kuhojiwa na polisi, ni sheria gani inawapa nguvu polisi kumkamata? Tena baada ya kusema hana imani nao?

Nafikiri kulinda haki ya kila raia ,au polisi wawapeleke mahakamani hao akina Slaa wakiwashitaki kwa kosa la uzushi !
 
Ana wanasheria wengi wabunge wenzake, hamna shaka situation haitakuwa out of hand
 
Nafikiri kulinda haki ya kila raia ,au polisi wawapeleke mahakamani hao akina Slaa wakiwashitaki kwa kosa la uzushi !

Najaribu kutakafari kama this is best way to handle situation iliyopo kwa sasa. Impact yake ni nini au ni liwalo na liwe?
 
Ni kweli Lumumba kumetulia hasa baada ya kulindwa na kikosi cha kudhiti CDM kinachoongozwa na Zoka

Tatizo lako unadhani kila mtu CCM, mimi ni mpigakura wa JJ Mnyika ambae nlimpa kura yangu ya NDIO na ninaishi katika jimbo lake.
 
huyu mwiba si yule yule wa uamsho

Wewe bakia hapo hapo ,mdizi au mharage ? Je mmea wa mpunga unaujua ? Piga simu jimboni kwa Mnyika kwa yeyote unaemjua ,afu uliza kuna nini nje ?
 
Back
Top Bottom