Dr. Slaa, Mnyika na Lema kukamatwa na Polisi wakati wowote kuanzia Leo

Wakati unaenda mitamboni wapi? wakati unasema umekopy mwanahalisi?

Huu ni uhandishi gani? ndo tatizo kusoma shule za kata

Amesema amenukuu gazeti la Mwanahalisi. Hiyo ina maana si yeye aliyekuwa anaenda mitamboni, isipokuwa gazeti la mwanahalisi ndio walikuwa wanaenda mitamboni. Kama hiyo ya kwenda mitamboni ni yake, sasa atakuwa ameanzia wapi 'kukopy'?
 
Wakati unaenda mitamboni wapi? wakati unasema umekopy mwanahalisi?

Huu ni uhandishi gani? ndo tatizo kusoma shule za kata

wewe ndio hujamwelewa! unamkashifu bure tu! alikuwa na maana wakati anenda kwenye mitambo yake ya kutengeneza gongo ndio alipata hizi habari!!
 
Yes,hatimaye Mnyika, Slaa na Lema wanaweza kukamatwa, wakajieleza, wakakaa mahabusu au wasikae, yote yawezekana.
Wanaweza wakadhurika huko, au wasidhurike na hizo tetesi za kuwadhuru kwa kutumia sumu na mbinu nyinginezo.
Wanaweza kabisa wote, au mmoja wao akadhurika au la. Yote yawezekana.
Ila mimi kwa dhati nimeamua kuwa, sitarudi nyuma hadi kieleweke. kwa kuwa kurudi nyuma na kwenda mbele chini ya ccm kote kubaya sawia. At least, that is my stance, Lo lote liwale liwe. Sijui wengine.
 
Daaaah kama ni hivyo wakitoka huko inabidi wakpime vipimo vyote maana hakuna kuaminiana.
 
Wakati wowote ushapita au bado ? Tunawasubiri mlioko huko tu na huku tujue la kufanya !
 
wewe ndio hujamwelewa! unamkashifu bure tu! alikuwa na maana wakati anenda kwenye mitambo yake ya kutengeneza gongo ndio alipata hizi habari!!

wewe huo ndio upuuzi gani ulioandika, huna cha maana hutakufa kwa kuto-comment! Jamaa yupo sahihi kwa s'bu amenukuu from mwanahalisi ambao by then they about to print their gazet!
 
Dr. Slaa anakwambia, kwake kwenda polisi ni sawa na kwenda sebuleni tu! Tafakari!!
 
Tuwewazoea Polisi wa Tanzania hivyo baada ya watu kujua na kuona jinsi wanavyotesa watu ndio wanasema kuwa wanaweza kuwakamata wafanye hivyo haraka sana na aliyesema sio Dr Slaa wamkamate na Kamanda Mbowe
 
Polisi, CCM, TISS, Rais = janga la taifa.

Udhaifu wa JK ni balaa kubwa sana, yaani miaka ya utawala wake Tanzania imerudi nyuma kama miaka 40 hivi. Kaharibu misingi mingi ya utaifa kwa kupandikiza udini na kuruhusu ufisadi, ukandamizaji na uporaji wa haki na mali za raia wa Tz.

Kila aliyempigia kura huyu dhaifu atubu na ashiriki kikamilifu kuisafisha nchi hii
 
Taarifa tulizopata wakati tunaekwenda mitamboni zinasema kuwa, jeshi la polisi limeelekezwa kuwakamata viongozi wakuu wa Chadema kwa kile kinachoelezwa kuwa madai yao ya kutaka kuuawa yanaleta mtafaruku kati ya nchi na nchi wahisani.

Mpango huo ulipangwa kutekelezwa wakati wo wote kuanzia jana jumanne. ( Nimenukuu mwanahalis la Leo Juma tano)

My take;
Kama kusingekuwa na kuhofia mtafaruku na wahisani ina maana wangepuuza madai yao? Au wangeendelea na huo mpango wenyewe uliofichuliwa?

ahaa haaa napita tu kumbe ni Aweda!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom