wakachangiage haka kazee magwanda mengine kanatia aibu
Don't judge by its cover!
wakachangiage haka kazee magwanda mengine kanatia aibu

beyond reasonable doubt????????????????????????????? kivipi hapo sijakuelewa? labda angepata % zaidi ya nusu ya wabunge wake na akashindwa nafikiri angalau tungetumia hiyo beyond reasonable doubt otherwise sijui unaitumiaje?

unavyofanya research ya ki science ya ku prove kitu beyond reasonable doubt ni kuwa na uhakika na kwamba watu wengine wakikirudia watapata majibu yaleyale
Anaweza kumpuuza kwa vyovyote, lakini mbona hafanyi comparison na yule dk dk dk ambaye anadeseshwa maswali ili kumlinda asiaibike, halafu wanasanction kwamba maswali fulani hayatakiwi kuulizwa! Je anakumbuka kile kipindi cha Straight Talk Africa way back 2007 mtu mzima alivyotia huruma! Jiahadhari kudharau intellectuals!

Hv **** kama wewe unapata wapi Ujasiri wa kumuita Slaa mpuuzi,Wewe capacity ya Ubongo zidisha mara 100 ndiyo unapata robo tu ya Capacity ya Brain ya Slaa,Where on earth do u get the guts to insult a man as intelligent and as patriotic as Wilbroad? From the mouth of which river?
Slaa anayo haki ya kurudia hayo maneno mara nyingi kuliko hata kasuku kwa sababu anaweza kuyathibitisha!
Nilihudhuria Mkutano wake pale Mabibo karibu na Benjamini Mkapa Export Processing Zones Authority,nilimsikia bila kumung'unya maneno kwamba yeye ndiye Aliyeshinda Urais mwaka 2010 na ana ushahidi yabisi ku-establish his claim,beyond reasonable doubt!!
Badala ya Kumbeza na Kumtusi imetupasa kumshukuru na Kumheshimu kwa sbb Ulimwenguni na hasa Afrika ni VIGUMU KUMPATA MTU AMBAYE ANGETUMIA HEKIMA YA SLAA KUEPUSHA MACHAFUKO!
Had he been Selfish,he could have plunged ths country into War,na Mori ya watu wengi wakati ule ilikuwa juu sana,angebonyeza tu button pangechimbika!!!
huyu muongoza kipindi makwaia ni mpuruzi sana!
hataki kupewa detailed maelezo, anataka kshushua watu tu!

Hapo sijakuelewa Vizuri Mkuu,Shida ni kwamba haujaelewa nilichokisema,Tafsiri ya kusema "Beyond reasonable doubt" au tatizo ni kwamba nimetumia phrase hiyo katika Context irrelevantly!!

I choose to believe that we are not switching ths debate into Semantics of words that we right!!

Nevertheless,Suffice to say kwamba Nilimsikia Dr.Slaa akisema kwamba yeye ndiye aliyeshinda Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2010 na alisema ana Ushahidi wa kuthibitisha kauli yake!!

Sina Shaka na UADILIFU,UWEZO na UZALENDO wake,I revere Dr.Slaa from the bottom of my heart!!!

beyond reasonable doubt????????????????????????????? kivipi hapo sijakuelewa? labda angepata % zaidi ya nusu ya wabunge wake na akashindwa nafikiri angalau tungetumia hiyo beyond reasonable doubt otherwise sijui unaitumiaje?

unavyofanya research ya ki science ya ku prove kitu beyond reasonable doubt ni kuwa na uhakika na kwamba watu wengine wakikirudia watapata majibu yaleyale

Hapo sijakuelewa Vizuri Mkuu,Shida ni kwamba haujaelewa nilichokisema,Tafsiri ya kusema "Beyond reasonable doubt" au tatizo ni kwamba nimetumia phrase hiyo katika Context irrelevantly!!
I choose to believe that we are not switching ths debate into Semantics of words that we right!!
Nevertheless,Suffice to say kwamba Nilimsikia Dr.Slaa akisema kwamba yeye ndiye aliyeshinda Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2010 na alisema ana Ushahidi wa kuthibitisha kauli yake!!
Sina Shaka na UADILIFU,UWEZO na UZALENDO wake,I revere Dr.Slaa from the bottom of my heart!!!

nia ilikuwa kwamba ushindi unaozungumzwa ni wa mdomoni na ushahidi haujawahi kutolewa popote kwa upande mwingine kulikuwa na wabunge 22 waliochaguliwa kupitia chama chake kati ya waliopo (wangesaidia kutupa picha maana ushahidi hatujauona). pamoja na uadilifu, uwezo na uzalendo wake ulivyosema "Beyond reasonable doubt" nilihisi unakuza mno jambo hilo.

Ata Kiiza Besigye Uganda anaamini alishinda Urais na yeye sio kupupuna ila anameza kabisa.Siasa za sasa kila mshindwa anadai ni mshindi,tazama Nigeria.
Mind yr speculations my friend!
Inaonyesha hujafika Rwanda unasema kwa ushabiki usio na maana mimi physically nimetoka Rwanda juzi kwa barabara kupitia Rusumo sehemu zote nilizopita ni vigumu sana kuona nyumba ya nyasi, si nyumba tu hata ubora wa barabara ni tofauti kabisa ukiacha ile ya ushirikiano ya kutoka Rusumo hadi Isike.Dr slaa anasema Rwada nyumba zote ni bati! Naona ana amanisha mjini kigali hajaenda vijijini!
Conservatives wanawapa wasio na kazi uk posho?.....mabbe he should've clarified that bogus statement!Ha ha ha ,Alishinda Uchaguzi gani huyu?Labda wa JF. Kweli anajiharibia heshima yake.
If u havent understood that, then u r bound to grasp no nothing in whatever the simplest clarification that may be pumped in ya head!...right?Conservatives wanawapa wasio na kazi uk posho?.....mabbe he should've clarified that bogus statement!
Dr anasema cdm haitaki ushirikiano wa kinafiki!...na akina seif sharif, wambaye kwasasa anasindikizwa na usalama wa taifa..je unategemea nini toka a mtu wa aina hiyo?
Wewe ndiye unaonekana bogus, kama hujui kitu ni bora kukaa kimya kutunza heshima, hujui UK gov. inavyooperate kwa unemployments, ukiwa huna kazi kuna kitu kinaitwa Unemployment benefits unakwenda kujiandikisha unalipwa hadi utakapopata kazi inajumuisha hela ya kujikimu na chumba unalipiwa.Conservatives wanawapa wasio na kazi uk posho?.....mabbe he should've clarified that bogus statement!
huyu muongoza kipindi makwaia ni mpuruzi sana!
hataki kupewa detailed maelezo, anataka kshushua watu tu!