Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,328
- 24,211
Dr Wilbroad Slaa ni mpinzani wa siku nyingi, toka kuanzishwa siasa za vyama vingi. Dr Slaa ni kama yule mchezaji katika timu, si wa kutegemewa sana, lakini anaweza kutokea nyuma na kufunga goli la ufundi.
Tunaikumbuka List of Shame.
Alopoteuliwa kuwa Balozi wengi tulishangaa sana, lakini ndo hivyo, tumikia kafiri upate mradi wako.
Awamu hii ya Sita akiwa Balozi Dr Slaa kaingia na pasi aliyoipata ya mpira wa DP World Akiwa kavaa jezi yenye nembo ya Balozi.
Dr Slaa vyenga kapiga, na alikuwa anaelekeo eneo la hatari box la timu ya serikali.
Sasa serikali ikachanganyikiwa, ikishangaa mbona Dr Slaa anakuja kavaa jezi yetu? Wakamvua jezi, lakini mchezaji ni yule yule, Dr Slaa.
Kwa upande mmoja serikali ya Mama Samia imejiumbua kwa kiasi, haipendi kuumbuliwa, iko vindictive!
Kilichomtokea Job Ndugai tunakikumbuka, serikali iko vindictive.
Tunakumbuka utawala wa mzee wa Chato.
Kuna mtu anaitwa Prof Mark Mwandosya.
Alionyesha hadharani kutoridhishwa kubambikwa kesi mtu, tena mpizani, anaitwa Sugu.
Yaliyotokea ni kama kagusa wire wenye umeme live.
Akafukuzwa uenyekiti wa Bodi za vyuo vikuu viwili, MUST- Mbeya na Mwalimu Nyerere Kigamboni.
Vindictiveness.
Hii tuliyoiona si dalili njema saana.
Kina Mbowe walisamehewa uhaini na kualikwa siku hiyo hiyo Ikulu.
Tundu Lissu pia.
Sipendi wapinzani wanavyotukana, but you guys have better watch out.
Kwa mama, this is a sobering moment, aendelee kuwavumilia wapinzani, na tusirudi zile siasa za kubambikana kesi.
Mama Samia, stay the moral high ground.
Mwanasiasa akikubeza, chukua yale ya maana kama ushauri, mengine yadharau na yatupilie mbali.
Kuna sku aliyetukana kijinga atakuhitaji tu, na lazima ataomba radhi tu.
Vindictive politics no!
Alamsiki.