Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,637
- 7,920
Unemployement benefits ni hela za wafanyakazi wenyewe ambao wanalipiwa na mwajiri as a form of insurance!Hai affect budget na hutolewa kwa specific period kama US ni one year.Wewe ndiye unaonekana bogus, kama hujui kitu ni bora kukaa kimya kutunza heshima, hujui UK gov. inavyooperate kwa unemployments, ukiwa huna kazi kuna kitu kinaitwa Unemployment benefits unakwenda kujiandikisha unalipwa hadi utakapopata kazi inajumuisha hela ya kujikimu na chumba unalipiwa.
Conservatives na republicans huwa wanaichukia sana hii,ila labour na democrats ndio wanaoisupport!...That is to say,conservatives hata siku moja hawasapoti welfare programs but they are just obliged to do so thanks to the pressure from the left!!!
That was again a bogus statement from him cos he knows well that tories "hate" welfare programmes!!!