Dr Slaa live on Channel10

Makwaia:
Inakuwaje cdm ipate fedha toka conservative, wakati inaamini katika demokrasia?...wakati wana uhakika kuwa chama hicho ni cha kibeberu?
 
Slaa:
Conservative...si mabeberu..Actually kuwaita conservative ni mabwenyenye ni sera za mwaka 1800!
Wao wanalipa wasio na kazi wakati sisi tunaoitwa wajamaa hatuwajali wasio na kazi!
 
Makwaiya: Nini mtazamo wako kuhusiana na sera ya ubinasfishaji? Dhana ya kujitegemea iko wapi wakati unafadhiliwa na Conservative? Una sera gani za kujitegemea?
Dr. Slaa: Sera za conservative ndizo hzo znzohudumia watu wa chini huko uk(mtu asiye na kipato anapewa posho) kitu ambacho hata sisi tunakisimamia. Kuna mambo ya msingi ambayo tunakubaliana na consvtve kama transparency, na uadilifu. Dhana ya ubwanyenye imebadilika sana.
 
Dr anasema cdm haitaki ushirikiano wa kinafiki!...na akina seif sharif, ambaye kwasasa anasindikizwa na usalama wa taifa..je unategemea nini toka kwa mtu wa aina hiyo?
Nimependa sana majibu ya Dr slaa hasa kelele za umoja na amani bila haki.HAKI lazima ianze then mengine yatakuwa sawa tu.wana cdm msipasue kichwa na mamluki wapya kibao humu nowdays.CCM kifo ni lazima na hata mwenyekiti wenu ameshaona na vyombo vyake vya kumpasha habari vimeshampa ukweli.anajaribu kuokoa jahazi lakini linaelekea kumshinda na hata yeye ameanza kukata tamaa.plan B yake ni maridhiano na Dr slaa (sio kama zenji lakini!)
 
Huyu Mtangazaji ni CCM Damu damu maana anaongelea Misingi ya Imani pasipo kujua Amani na Umasikini haviendani kabisa..watu huchoka
 
Makwaia: Msimamo wako kuhusiana na udini ukabila. kuna maneno maneno kwamba ni ya kaskazini
Dr. slaa: kila kitu kizuri kinaanza na mtu anayetoka sehemu fulani. Mtei ambaye ni mwanzilishi ni wa kaskazini, lakin leo CDM ipo kila sehemu ya TZ. Kuhusiana na udini, kuna watu wa dini fulani na watu wa dini fulani wanaotumia dini yao kuwanyima wengine haki. Kuwa kwenye dini fulani sio udini, bali kumbagua mtu kwa sababu ya dini yake. CDM inatambua kuwa kuna fursa ambazo Waislamu wamekosa kutokana na historia na CDM inapenda gap hilo lifidiwe.
 
makwaia ana matatizo sana,ana amini anaijua hii nchi kuliko yeyote na ni mtu asiyependa mabadiliko akitumia vibaya mgongo wa mwl nyerere!
 
Kipindi kimeisha. Binafsi naona Makwaiya ametumia kipindi kuendasha propaganda za kiasiasa maana anamuuliza(Dr. Slaa) maswali yanayohitaji ufafanuzi lakini anamkatisha kabla hajajenga hoja na kumtaka ajibu ndiyo au hapana.
 
anapenda kuhodhi mada ili itoe majibu anayotaka tena kwa kulazima watu kusema anachopenda na kuamini.mzee alipaswa kuwa mfano huyu!
 
Back
Top Bottom