Anasema alipokuwa anatafuta wadhamini mwanzoni mwa kampeni alivunjika mkono na mke wake alimsaidia sana kwa kuwa asingeweza kufanya kitu. Anasema alimpa faraja na kumsaidia
Anajibu huwezi ukavitenganisha viwili. Vyote vinachukua sehemu kubwa.
Sehemu muhimu ya malezi ni kuanzia miaka 0 hadi 5. Binadamu anapozaliwa ankuwa mtupu hadi kuanzia wiki ya 3 au ya nne.
Kitendo cha mama kumyonyesha mtoto kinampa upendo na kinatafsiri na mtoto akifika 15-20 kuwa karibu na mzazi vinginevyo wanaweka distance na kuwa reserved.
Anatoa mfano ulaya wengi wanatumia chupa na kuleta athari.
Waafrika bado wanatilia mkazo watoto wanyonyeshwe.
Character ya mtoto alilelewa na mama anakuwa mcheshi, anacheka na anajihusisha na familia na mara nyingi haiachi familia na anajishughulisha na vitu mbalimbali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.