Dr.slaa live east africa tv leo saa moja jioni

Dr.Slaa ndani ya Eatv now, anazungumzia topic 'je uwezo wa utendaji wa kijana unapimwa kwa malezi au mazingira? Wadau wasitegemee sana mambo yaliyojiri uchaguzi as the topic iko so specific so ni ngumu kuzunguka kuongea mengine.Nawakilisha.
 
Sikujua kama Dr. Slaa alishaandika vitabu kuhusu vijana.
Na pia sikuwahi kumsikia akizungumzia issues nyingine mbali na siasa.
Angalau leo namsikia akiyazungumza hayo.
Na anayachambua vizuri mno.
 
Swali: Tunaomba uongee - Kama ni malezi factors gani zinachangia na kama ni mazingira ni factors gani?
 
malezi na mazingira, ya kijana kukua , humfanya mtoto kuwa na tabia kutokana na mazingira aliyokuwa nayo, kwa mfano kama mtoto WA KIUME amekulia ktk mazingira ya kike, baadaye akiwa kijana anakuwa na tabia ya KIKE
 
Anazungumzia mazingira. Anatoa mfano katika familia ambayo ina watoto wa kike 8 na mvulana 1 kuna uwezekano mkubwa mtoto wa kiume akawa na kiutendaji wa kike kwa sababu ya mazingira.

Socialization ni muhimu sana.

Anatoa mfano pia kumwita mtoto "Mwizi" mara kwa mara kunaweza kumfanya mtoto pyschological akawa mwizi.

Anasema kuna connection kati ya mama na mtoto kuanzia akiwa tumboni na baadaye akizaliwa.
 
Dr. Slaa yuko vizuri ndani ya Combat lake. lakini very simple.

Sauti yake na gestures bado zina highest authority

as if is a president
 
Anaulizwa alikopita aliona vijana wa kike na wa kiume . . . . je picha aliyoiona inalingana vipi na content za vitabu vyake?
 
vijana wengi wnatambua thamani yao, pia wanaujasiri, na vijana lazima wajieshimu, na VIJANA wa tanzania wanajieshimu sana, anasema dr
 
Anasema ni kweli amepita karibu kila kata wakati wa kampeni, pia kama K/Mkuu CHADEMA na pia kama mwenyekiti wa kamati ya bunge.

Anasema ameona ujasiri wa vijana na wako tayari kufanya kitu. Wanatambua thamani yao na hawasiti kama wazee.

Anasema pia vijana wa tanzania pamoja na matatizo yote ya ajira na umasikini lakini bado wanajiheshimu sana sana.

Heshima ya vijana wa Tanzania haijapotea. Damu yao iko motomoto na wakati mwingine wanaweza kukuudhi kwa kufanya vitu haraka haraka lakinbi wako tayari kujirudi wanapoelezwa.
 
Anasema vijana katika TEEN age ni kipindi muhimu sana cha mabadiliko yao na ni vema wazazi na jamii ielewe. Ni kipindi vijana wanataka kuelezwa ukweli na hawataki kufichwa.

Anatoa mfano kuwa kuna malalamiko wazazi wanadai kuwa TV zinaharibu watoto, anasema kuna ukweli lakini muhimu ni kuwaeleza na kuwafundisha.

Hili ni swala la malezi pia.
 
Asha anauliza kama mtoto alizaliwa na kutelekezwa na kukosa upendo na malezi ya mama inakuwaje?
 
Back
Top Bottom