Dr.slaa live east africa tv leo saa moja jioni

Anasema katika hilo analifahamu pia. Ktk vituo vya kulelea watoto au hospitali wanao utaalamu wa nini kinatakiwa lakini kama wakichukuliwa katika mikono wasiyojua malezi wanaweza kuathirika.
 
Sasa simu zinaruhusiwa . . . . I mean maswali . . . . kutoka kwa wasikilizaji.
 
Rais wetu mpendwa na mzalendo wetu. MY PRESIDENT IS DR SLAA NOT KIKWETE ndio nimeandika kwa maandishi mekundu mwenye macho asivae mawani.:smile-big:
 
Anasema yeye ameishi ulaya Italy, germany na central Europe na amegundua . . . . amekatishwa na swali.
 
I hope atairusha na kwenye TV zingine siku nyingine! Watu wanasema hainogi bila kumwona..wanasema wangependa kumsikia kila wiki!
 
Haaa haaa sasa wamemleta Josephine mke wa Salaa

Amekwiva kweli kewli kama binti mdooogo . . . .

Mzee alichagua kweli
 
Ndio Dr Slaa ni daktari bingwa wa tiba za Mgonjwa Hatari kama vile UFISADI, UCHAKACHUAJI, URITHI WA MADARAKA kwa watoto na mengine mengi tu. Ndugu uliuliza swali mpigie simu sasa hivi kwa ugonjwa wako atakusaidi sana Mh Slaa tena bila malipo!!!!!!!!!!!
 
Josephine anaulizwa umabli wa mama na mtoto unaweza kuchangia mtoto kuharibika?
 
Anajibu hicho kitu kinaharibu sana mapenzi ya mtoto kwa kuwa ni kipindi mihumu kwa malezi.

Mama tunaambiwa kwa leo ni dereva wa Dr. Slaa
 
Anasema katika bunge letu lina vijana. Anatoa mfano wa Amina Chifupa jinsi alivyoingia kijana . . . du, simu tena
 
Mmmmmmmmh naona kiburudisho nacho kimeingia na mtangazaji kaweka "ingawa umekuja kama driver wa Baba_____"
 
Back
Top Bottom