Ukiona mtu anajiita kazaliwa mjini ujue ana matatizo makubwa ya ushamba! Miji yenyewe hii michafu na foleni unajiona mjanja?Matatizo ya Slaa na washamba wenzake yapo wazi sana. Haya ni matokeo ya kuzaliwa vijijini na kuja mjini ukubwani. Mtu kama Halima Mdee hawezi kufanya ushamba kama huo hata siku moja.