Dr Slaa hajui kutofautisha mvao wa kichama na wa shughuli za kitaifa?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
IMG_7299.JPG

IMG_7637.JPG

Dr. Slaa na Spika Makinda Hospitali ya CCBR, Slaa ni mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo.

Dr. Slaa anatakiwa kutofautisha akiwa katika harakati za kichama na shughuli za umma. Si kila anakokwenda ni magwanda tu, siku akiingia ikulu itakuwa ni ikulu nzima full sare za magwanda. Kwa vyo vyote viongozi wetu watofautishe nafasi za kuvaa sare za chama na nafasi ambazo za umoja wa kitaifa ambapo nguo za kwaida zinavaliwa ili mwingine asisikie vibaya kuchangamana kwa kufikiria kiitikadi.
 
kweli wewe ndo kilaza wa mwisho.unadiriki kutuletea upupu wako ati tuchangie. we imekuuma sana Dr. alivyo vaa magwandwa!kajinyonge basi.
 
Eti na wewe umefikiria? Utumwa mbaya. Halafu chadema hawana sare rasmi. Hizo combat unazoziona mitaani sio vazi rasmi la chama. Umewezaje kulogin? Mbona unaonyesha kama hujui lolote?
 
Usichokijua wewe ni saa ngapi Dr.Slaa yupo kazini na saa ngapi hayupo kazini. Acha nikwambie sasa: akiwa amelala havai magwanda, akiwa kanisani havai magwanda, akiwa CCBRT havai magwanda, akiwa home na Josephine havai magwanda. Kinyume na hapo, yupo kazini na ndio maana tunamwaminia.

Jasiri haachi asili, Dr. wa ukweli anayehit round the clock!
 
Anajiita mwanaharakati!

Hajiiti, tunamtambua hivyo. Ni nyinyi tu mnaoumia na harakati zake ndio sasa mmemshindwa kwa sera sasa mnaingia kwenye mavazi.

Nini unahitaji mwanaume mwenye mawazo ya jikoni; Mchakalikaji Mzalendo anayejua nini afanye kulikwamua taifa lkn asiyejua fasheni au model mwenye kucheka cheka akipendeza ndani ya suti huku watu wanatafuna nchi?

Tuongeage vitu vitakavyotutofautisha na dada zetu. Juzi mlikuwa bize na wigi la bi kiroboto (sikujali mwanamke mwenzenu) leo mmevamia mavazi ya mwanaume. Shame on you girls!
 
IMG_7299.JPG

Dr. Slaa na Spika Makinda Hospitali ya CCBR, Slaa ni mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo.

Dr. Slaa anatakiwa kutofautisha akiwa katika harakati za kichama na shughuli za umma. Si kila anakokwenda ni magwanda tu, siku akiingia ikulu itakuwa ni ikulu nzima full sare za magwanda. Kwa vyo vyote viongozi wetu watofautishe nafasi za kuvaa sare za chama na nafasi ambazo za umoja wa kitaifa ambapo nguo za kwaida zinavaliwa ili mwingine asisikie vibaya kuchangamana kwa kufikiria kiitikadi.

Hilo ni vazi rasmi kwa si waTZ tunaochukizwa na mfumo mbovu wa CCM uliotumika miaka 50 iliyopita. Hii ni brand mpya ya TZ mpya tunayoitaka. Nguo ya kazi. Nampongeza sana Dr Slaa.

Wewe unamaslahi binafsi.
 
Dr. Slaa anatakiwa kutofautisha akiwa katika harakati za kichama na shughuli za umma. Si kila anakokwenda ni magwanda tu, siku akiingia ikulu itakuwa ni ikulu nzima full sare za magwanda. Kwa vyo vyote viongozi wetu watofautishe nafasi za kuvaa sare za chama na nafasi ambazo za umoja wa kitaifa ambapo nguo za kwaida zinavaliwa ili mwingine asisikie vibaya kuchangamana kwa kufikiria kiitikadi.

Ama kweli kwenye msafara wa mamba kata kenge na mijusi wamo!

Nilidhani JF ni ya Great thinkers tu kumbe hata na wewe umo! Kwani tumeishiwa hoja za muhimu kabisa mpaka tuanze kujadili nani kavaa nini?

Hata hivyo ngoja nikusomeshe angalau kidogo kama unasomesheka; umeshasema Dr. Slaa ni mwanaharakati na uanaharakati maana yake ni vitendo na si maneno pekee. Wapo wanaharakati katika historia walioamua pamoja na mambo mengine kutonyoa ndevu au nywele hadi utimilifu wa malengo yao na baadhi walidumu vile hadi mwisho wa maisha yao (Kuna kina Che Guavara, Fidel Castro, Samora Machel, Sam Nujoma n.k.) sasa kuna tatizo gani kwa Dr. Slaa kuvaa nguo zinazofanana na zile anazotumia anapokuwa kwenye harakati katika shughuli zake za kawaida?

Mbona huzungumzii ma RC na ma DC ambao kwa kujikomba huvalia mabiramu (Mabango) ya CCM hadi kwenye kucha na majukwaa yao kupambwa rangi za CCM kwenye shughuli za kitaifa kama kupokea mwenge, kukagua miradi, kufungua mikutano na hata mapokezi ya viongozi wa kitaifa wanaojinadi ni wa wote pamoja na wasio wanachama cha CCM?
 
Kwa vyo vyote viongozi wetu watofautishe nafasi za kuvaa sare za chama na nafasi ambazo za umoja wa kitaifa ambapo nguo za kwaida zinavaliwa ili mwingine asisikie vibaya kuchangamana kwa kufikiria kiitikadi.
Naweza nisiwe sahihi, lakini hiyo si sare ya chama.

Akieeleza kwa nini alibuni vazi hilo, Mbowe alisema yuko kwenye mapambano ya kuikomboa inchi, hivyo kuvaa kombati, na wale wote waliokubaliana na wazo lake wakavaa kombati. Nimewaona wabunge kadhaa wa CDM wakiingia bungeni na vazi hilo. Nijuavyo, ni marufuku kuingia bungeni na sare ya chama, ingekuwa sare ya chama wasingeruhusiwa kuingia nazo bungeni.
 
Mwuulize JK na wateule wake ambao huwa wanaandaa wakereketwa wenye are za CCM kwenye kila ziara ya rais - Je, yeye na hao wateule wake wanashindwa kutofautisha safari za JK za kitaifa na za kichama? Je, kwa nini hakemei tabia hiyo ya kupokelewa na sare za chama katika shughuli za kitaifa mfano kufungua barabara huko Mwanza - Usagara hadi Geita?
 
Matatizo ya Slaa na washamba wenzake yapo wazi sana. Haya ni matokeo ya kuzaliwa vijijini na kuja mjini ukubwani. Mtu kama Halima Mdee hawezi kufanya ushamba kama huo hata siku moja.
 
N i kweli Halima Mdee alikuwa anatafuta houseboy lakini mbona kashapata, nadhani umechelewa jaribu kuwasiliana na Mnyika.
Matatizo ya Slaa na washamba wenzake yapo wazi sana. Haya ni matokeo ya kuzaliwa vijijini na kuja mjini ukubwani. Mtu kama Halima Mdee hawezi kufanya ushamba kama huo hata siku moja.
 
Back
Top Bottom