sikajiji
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 588
- 113
View attachment 124129
Inueni mioyo
Inueni mioyo
Dr hajasema kuwa atagombea. Wagombea tupo wengi.
View attachment 124129
Inueni mioyo
Usirudie tena kufikiri na kuwaza Hilo ni UHAINI mkubwa kugombea nafasi ya juu ndani ya CDM! Hizo nafasiniDr Slaa na Mbowe!
Utakufa ndugu yangu muulize baba yako Wangwe yupo wapi? Au ZZK anaelekea wapi? Chonde chonde ndugu yangu usithubutu hata kidogo! Hizo nafasi za CDM family! Na wewe sio miongoni mwao! We are very sorry!
Mm naona dr slaa akaongoze kanisa kwa urais nchi sio kitu rahisi atatuvuruga tu
maajabu ya ccm hata kuiga hawawezisera ya elimu bure imefia wapi tena...sasa hiyo namba ya simu ya shule inahusiano gani na hotuba ya dr slaa.
Kuna chama kingine cha upinzani chenye nguvu hapo kuliko chama cha chadema? hebu niambie wewe ?
Katika kundi la vipofu akitokea mmoja akaona kivuli tu basi ndio ataonekana wa kutoa mfano na ushauri kwa wenzake.
Mkuu chama
Siku hizi bongo kuna marais wengi kuna rais wa wasafi labda yeye anautaka urais wa ufipa.
Hivi Dr Slaa bado anawaza kweli kuwa rais wa Tanzania tufike wakati tuwe wakweli Dr Slaa, ataendelea kuwa rais kivuli wa Tanzania miaka yote.
kwa uwelewa wako umetambua wazi Watanzania wanakizalau sana chadema kuliko chama chochote hapa Tz kwa maamuzi yao ya kukurupuka. pia kumbuka Tanzania kunamarais wengi sana nahakika dr Slaa anataka kugombea urais wa Chaneta.Kwa wote wanaoidharau cdm wakae chini na kutafakari upya kwakuwa watanzania waliowengi wamechoka na chama tawala na wanataka mabadiliko hata kama yatakuwa ya hovyo kuna kila sababu ya kujitafakari na kuangalia hatma ya nchi sio mizaha isiyo na maana mara uzinzi mara u-dj nk
Mm naona dr slaa akaongoze kanisa kwa urais nchi sio kitu rahisi atatuvuruga tu