Dr Slaa: Chadema kujenga Mfumo Mpya wa Elimu Mwaka 2015

Khaa!! Dr wa ukweli kitila amefukuzwa cdm.sasa wamebaki dr lema, dr sugu, dr mbowe na wengine
 
Kwa wote wanaoidharau cdm wakae chini na kutafakari upya kwakuwa watanzania waliowengi wamechoka na chama tawala na wanataka mabadiliko hata kama yatakuwa ya hovyo‚ kuna kila sababu ya kujitafakari na kuangalia hatma ya nchi sio mizaha isiyo na maana mara uzinzi mara u-dj nk

kwa analysis zipi mkuu...ni ngumu kujumuisha mawazo ya watanzania wote kwa mijadala ya vijiweni. Kwa mfano kuichoka ccm na kuwa tayar kuchagua chama chochote hata kama cha ajabu inaingia akilin kweli?
 
ccm tumeichoka kweli na tupo tayari kulipigia kura hata jiwe. Hivi kati ya jiwe na ibilisi bora kipi?
 
Kwa wote wanaoidharau cdm wakae chini na kutafakari upya kwakuwa watanzania waliowengi wamechoka na chama tawala na wanataka mabadiliko hata kama yatakuwa ya hovyo‚ kuna kila sababu ya kujitafakari na kuangalia hatma ya nchi sio mizaha isiyo na maana mara uzinzi mara u-dj nk
Chadema hawana sifa ya kuwaongoza watanzania bado hatujapata mbadala wa CCM.
 
Wanao ongoza sasa ni dhahiri hawana sifa na hilo wanakiri hadharani, miaka 50 bado tuko kundi la nchi maskini zaidi duniani, sasa kama experience yako ya sifa za kiuongozi unaichukulia kwa ccm unataka tutarajie hoja gani zaidi toka kwako?
 
Back
Top Bottom