Dr Slaa: Chadema kujenga Mfumo Mpya wa Elimu Mwaka 2015

Dr hajasema kuwa atagombea. Wagombea tupo wengi.

Usirudie tena kufikiri na kuwaza Hilo ni UHAINI mkubwa kugombea nafasi ya juu ndani ya CDM! Hizo nafasiniDr Slaa na Mbowe!

Utakufa ndugu yangu muulize baba yako Wangwe yupo wapi? Au ZZK anaelekea wapi? Chonde chonde ndugu yangu usithubutu hata kidogo! Hizo nafasi za CDM family! Na wewe sio miongoni mwao! We are very sorry!
 
Mpinzani wa jakaya alikuwa nani kwenye kinyang'anyilo cha Mkiti?
 
Kwa wote wanaoidharau cdm wakae chini na kutafakari upya kwakuwa watanzania waliowengi wamechoka na chama tawala na wanataka mabadiliko hata kama yatakuwa ya hovyo‚ kuna kila sababu ya kujitafakari na kuangalia hatma ya nchi sio mizaha isiyo na maana mara uzinzi mara u-dj nk
 
Mkuu Ritz
Anataka uraisi upi wakati yeye tayari ni raisi wa wazinifu huu wa JMT atausikilizia mapajani akifanya zinaa zake!!
Mkuu chama

Siku hizi bongo kuna marais wengi kuna rais wa wasafi labda yeye anautaka urais wa ufipa.
 
Last edited by a moderator:
Katika kundi la vipofu akitokea mmoja akaona kivuli tu basi ndio ataonekana wa kutoa mfano na ushauri kwa wenzake.

Vua gamba ilileta faida ipi? Nyoka akijibua gamba hubaki na nini? Mkiti wenu mpinzani ktk uchaguzi alikuwa nani?
 
Mkuu chama

Siku hizi bongo kuna marais wengi kuna rais wa wasafi labda yeye anautaka urais wa ufipa.

Mkuu Ritz
Huo wa ufipa rukhsa Tanzania haiwezi kuongozwa na mtu laghai na mzinifu; hii nchi ina maadili kama alishindwa kuongoza parokia kwasababu ya uzinifu ataweza kuongoza nchi? Chadema kimemshinda hivi sasa vurugu tupu ameshindwa kusimamia katiba inayoongoza chama chake; watanzania tumezoea demokrasia; tunachomshauri arudi kwa Mungu huu uzunifu na ulaghai hautamfikisha popote.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Dr Slaa bado anawaza kweli kuwa rais wa Tanzania tufike wakati tuwe wakweli Dr Slaa, ataendelea kuwa rais kivuli wa Tanzania miaka yote.

mbona una tahayari na kuweweseka sana..?ni kwamba amekushika by surprise?
 
Kwa wote wanaoidharau cdm wakae chini na kutafakari upya kwakuwa watanzania waliowengi wamechoka na chama tawala na wanataka mabadiliko hata kama yatakuwa ya hovyo‚ kuna kila sababu ya kujitafakari na kuangalia hatma ya nchi sio mizaha isiyo na maana mara uzinzi mara u-dj nk
kwa uwelewa wako umetambua wazi Watanzania wanakizalau sana chadema kuliko chama chochote hapa Tz kwa maamuzi yao ya kukurupuka. pia kumbuka Tanzania kunamarais wengi sana nahakika dr Slaa anataka kugombea urais wa Chaneta.
 
wakati akihutubia umati wa wanachuo huko usa 2013 dr slaa aliwaambia watanzania,wasio wa tanzania na jumuiya ya chuo kikuu marekani kuwa chadema kipaumbele chake cha kwanza na cha pili ni elimu kwakua huo ndio msingi muhimu kuelekea maendeleo ya kweli,hivyo taifa linapaswaa kuipa kipaumbe elimu kwa mapana yake
 
kuna mtoa r..ushwa mmoja wa ccm aliiga hii , hata hivyo tumemstukia mapema sana !
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom