Achahasira
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,213
- 214
Picha hiyo ni ya kutengenezwa, kichwa kimechomekwa cha Slaa wakati kiwiliwili ni cha ustaadhi fulani.
Slaa hana miguu myembamba hivi, Slaa amejaza miguu. Halafu anaonekana ni mrefu na mwenye miguu myembamba na mirefu wakati Slaa ni wa kimo cha wastani na miguu iliyojaza kiasi.
Aliyechomekea kichwa cha Slaa amefanikiwa mandhari lakini picha ya mshusika ameangukia pua.
jipe moyo,kwani kuna ubaya yeye kuongea nao?