Dr. Slaa akinywa kahawa na Binti wa Kiarabu..

Sio dr slaa uyo angalia juu bonge la mwili chini miguu kama miwa, ah wapi iyo picha imekuwa doctored come on......... Nalog off
 
think its a real one... is there a problem kwa mtu kunywa chai/kahawa na mtu mwingine?
 
Hapa ni eneo la victoria anapoishi dk. na mchumba wake kwenye zile apartment zilizoko kushoto ukiwa unaelekea posta na hao ni wamiliki waliamua kumkirimu mgeni wao sasa je tatizo liko wapi? acheni hizo
 
Very true Candid, hii ni mojawapo ya picha za uchochezi! So mnatakasema Dr Slaa yupo undercover na waarabu? please guys hapa ni sehemu ya positive thinkers! Hivi wewe ndo ungelikuwa Dr Slaa halafu unakutana na picha kama hii iliyotengenezwa utajiskiaje?

Picha hiyo ni ya kutengenezwa, kichwa kimechomekwa cha Slaa wakati kiwiliwili ni cha ustaadhi fulani.

Slaa hana miguu myembamba hivi, Slaa amejaza miguu. Halafu anaonekana ni mrefu na mwenye miguu myembamba na mirefu wakati Slaa ni wa kimo cha wastani na miguu iliyojaza kiasi.

Aliyechomekea kichwa cha Slaa amefanikiwa mandhari lakini picha ya mshusika ameangukia pua.
 
Duh!
Sielewi hapa kama unaiponda miguu yake au unamtetea!
Angalia picha akiwa na rais hivi majuzi ndio utaweza kutoa analysis nzuri juu ya hiyo miguu!
 
hilo tumbo mbona ni copyright.hakuna cha photoshop wala nini.it is realy and it is happening again.JUST ANOTHER TAKEN
 
Picha hiyo ni ya kutengenezwa, kichwa kimechomekwa cha Slaa wakati kiwiliwili ni cha ustaadhi fulani.

Slaa hana miguu myembamba hivi, Slaa amejaza miguu. Halafu anaonekana ni mrefu na mwenye miguu myembamba na mirefu wakati Slaa ni wa kimo cha wastani na miguu iliyojaza kiasi.

Aliyechomekea kichwa cha Slaa amefanikiwa mandhari lakini picha ya mshusika ameangukia pua.

Ni kweli. Ukiangalia kwa makini utaona shingo lake ni kama limezama!
 
Watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri hujadili watu.
Kwanza sioni kama ni tatizo kama kweli ni Dr. Slaa, jamani kwani waarabu au wazungu ni mwiko kukaa nao na kunywa nao chai?
 
kwani nani kasema mwiko hapa????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom