Dr. Slaa akinywa kahawa na Binti wa Kiarabu..

Mu-iraqw!!

Hata ulitie madoido linabaki kuwa kama nilivyosikia, mu Iraq. Ukimfatilia nasaba yake unaweza kukuta ana udugu na Saddam Hussein.

Tena hao wa Iraq"w" ni waarabu kabisa. Kwa hiyo hapo yupo nyumbani kabisa. Mwacheni akumbuke gahwa na tende.
 
Tena hapo inaonesha kuna kabinti kingine kakiarabu ndio kalinyanyuka kupiga picha.
 
Hata ulitie madoido linabaki kuwa kama nilivyosikia, mu Iraq. Ukimfatilia nasaba yake unaweza kukuta ana udugu na Saddam Hussein.

Tena hao wa Iraq"w" ni waarabu kabisa. Kwa hiyo hapo yupo nyumbani kabisa. Mwacheni akumbuke gahwa na tende.

safi sana......uko sahihi kabisa
 
Picha hiyo ni ya kutengenezwa, kichwa kimechomekwa cha Slaa wakati kiwiliwili ni cha ustaadhi fulani.

Slaa hana miguu myembamba hivi, Slaa amejaza miguu. Halafu anaonekana ni mrefu na mwenye miguu myembamba na mirefu wakati Slaa ni wa kimo cha wastani na miguu iliyojaza kiasi.

Aliyechomekea kichwa cha Slaa amefanikiwa mandhari lakini picha ya mshusika ameangukia pua.

Vyovyote iwavyo,ila likisikika jina hilo tunajua ni mtu wa watu!!!Dr. kunywa chai upumzike
 
Dr. Slaa hawezi kuvaa nguo ya rangi sawa na nzi wa Chooni-ni MWIKO bin BOKO KHARAM!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom