Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,360
Seems the Govt has run out of ideas. The only option left is rule of force. Hatari kweli kweli
Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu
Sasa ndio kitaeleweka kile kinachowasukuma kuwagomea waTanzania licha ya kuwasomesha.Nawao wanakuona wewe ZUZU na Moja Africa Nzima kwa sababu hujui wanadai nini! Darasa la saba bungeni (Maji Marefu, Jah People) analipwa milioni kumi ,daktari laki tisa.
Kinachoendelea sasa hivi ni kuuwa kabisa sekta ya afya.
Kiongozi wa madaktari
nchini Dr. Namala Mkopi (daktari bingwa wa watoto),amefikishwa katika
mahakama ya Kisutu asubuhi hii kujibu shutuma za uchochezi na kupuuza
amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.
N.B. Mgomo huo haukunzishwa na MAT, ulianzishwa na inayoitwa Jumuiya ya
Madaktari chini ya kamati inayoongozwa na Dr. Ulimboka, na kuungwa mkono
na madaktari nchini.
Tusubiri kuona hili saga litakavyoendelea....
Keep your friend close and your enemies closer. Don
Coleorne
Sawa kabisa nimefurahi kusikia hivyo na bado tunaiomba serikali iwachukulie atua madaktari wote waliogoma na kusababisha vifo vya watanzania wenzetu,ujue unaweza unga mkono mgomo wa madaktari na kuufurahia kiushabiki kwa sababu kifo kutokana na mgomo huu hakijamkuta ndugu yako wa karibu au huna huruma na binadamu wenzako lakini kama yangekukuta nafikiri katika hali ya kawaida ungeungana na watanzania wengi kupinga mgomo wa madaktari na yeyote atakayejifanya anahamasisha watu kuandamana kuipinga serikali atua inazochukua dhidi ya madaktari waliovunja sheria huyo atakuwa ni mwendawazimu na hafahi kuitwa binadamu ni mnyama kwa nini asihamasishe maandamano kipindi kile cha mgomo kuwashinikiza madaktari warejee kazini ili kuokoa maisha ya watanzania waliokuwa wanaumwa! Jamani migomo yote hapa nchini ni ya kisiasa inachochewa na inafadhiliwa na chadema ili kuifanya serikali ya CCM ionekane haiwajali wananchi wake lengo kuidhoofisha CCM kisiasa na kuijenga Chadema ili wananchi wawaone chadema ndiyo wanafaa kushika dola,Ewe mtanzania makini na mzalendo popote ulipo chukua hatua ya makusudi kuelimisha jamii iliyokuzunguka kuikataa chadema kwa namna yoyote ile ili kulinda Amani,Umoja na mshikamano wa watanzania !
Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu
Sasa ndio kitaeleweka kile kinachowasukuma kuwagomea waTanzania licha ya kuwasomesha.
Kama mliajiriwa kwa ajili ya kipato karibuni mitaani kuna pesa hata zaidi ya milioni kumi kwa mwezi.
Katika sakata hili tunasubiri tu kuokota vidole maana hamjui kuwa upande wa pili ndio umeshika mpini.
Umetokea kwenye vilabu vya gongo nini?
Nawao wanakuona wewe ZUZU na Moja Africa Nzima kwa sababu hujui wanadai nini! Darasa la saba bungeni (Maji Marefu, Jah People) analipwa milioni kumi ,daktari laki tisa.
Mlevi mwingine kawasili toka kwa Nape anaganga hela ya chupa za gongo jioniWewe Ndiyo zuzu,jamani ubunge ata wewe unaweza kugombea na kupewa mshahara mzuri kwa hiyo ata madaktari wanaweza kuacha taaluma yao na kwenda kugombea ubunge na kupewa mshahara mzuri,ukiona udaktari haufahi unaweza acha na kwenda kwenye ubunge!
Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu
JF si mahali pa watu wa aina yako,wasiojua nini kinaongelewa na kujibu tofauti na hoja iliyopo mezani
katafute mitandao ya watu wanaoweka akili zao likizo kama wewe.
kuhusu Dr.Mkopi don't worry Mungu siku zote anasimama upande wa haki" ni suala la muda tu.