unataka waje kula kwako?Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu
unataka waje kula kwako?Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu
Vijana Tanganyika si Lybia na mnajidanganya kufikiri hivyo.Hata Gaddaffi alishika mpini kwa muda flani! Unajua yeye yuko wapi na familia yake je? Fikiria zaidi ya kesho, siyo ukishiba leo ndo umeukata!!!
Nafikiri ni vizur watu wa Tz kuelewa nchi yenu inaongozwa kwa Rules of Law. Kwa misingi hiyyo kila muhimili unajitegemea katika kuendesha nchi. yaani Mahakama, Serikali na Bunge. Na vyote haviwezi kungiliana katika maamuzi.
Fuateni sharia mlizojitungia wenyewe katika Katiba yenu
inachofanya serikali ni kuwatisha tu...haa ukizingatia kuwa dr mkopi ameandika barua Umojawa mataifa.....kinachofanyika ni kutaka kumnyamazisha tu
Serikali imtoe sadaka huyo Dr aende jela ili wengine waogope wasirudie tena.
inamaana selikali ilipo tangaza kuwa mgomo umeisha na huduma zinaimarika siku hadi siku ulikuwa ni uwongo?Kwanini wamlazimishe kutoa tangazo la kusitisha mgomo wakati sio yeye aliyetangaza mgomo, naona serikali inachezea kodi zetu kwa kesi amabazo huna hata hja ya kuweka wakili kushinda.
Kuna kitu umekalia wewe ndo kinakusumbua,sio bure!
Ungekuwa na akili timamu usingewalaumu madaktari bali serikali yako iliyojaa udhalimu. Lakini kwa kuwa mang'amuzi huna, ni bure kubishana na mtu kama wewe!!Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu
lusinde brain@work
Nafikiri ni vizur watu wa Tz kuelewa nchi yenu inaongozwa kwa Rules of Law. Kwa misingi hiyyo kila muhimili unajitegemea katika kuendesha nchi. yaani Mahakama, Serikali na Bunge. Na vyote haviwezi kungiliana katika maamuzi.
Fuateni sharia mlizojitungia wenyewe katika Katiba yenu
Seems the Govt has run out of ideas. The only option left is rule of force. Hatari kweli kweli.
only people with wisdom like you who can say that but Stella Manyanya and Emanueli Nchimbi can not say that.
Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu
Inakuwaje Mwenyekiti wa MAT kushtakiwa kwa kosa la Mwenyekiti wa Jumuiaya ya Maktari. Ina maana Polisi hawaoni kuwa anaweza kuwashinda na kama sheria ingekuwa inaruhusu angewadai fidia. Lakini sheria hairuhusu Mtuhumiwa kudai fidia ndio maana wamemfikisha mahakamani.
lusinde brain@work
N.B. Mgomo huo haukunzishwa na MAT said:Acha kuweweseka, subiri mahakama iamue.
Mnaanzisha mambo kichwa kichwa kama vile mnabeep....Serikali ikipiga matumbo yanawalegea.
Subirini, mambo bado..... Aliyelikoroga lazima alinywe.
Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu