Dr. Namala Mkopi (kiongozi wa MAT) afikishwa mahakama ya Kisutu

Seems the Govt has run out of ideas. The only option left is rule of force. Hatari kweli kweli
 
Chama cha Kigaidi chenye selikali inayo uwa watu na kuwatesa. Hivi Mwalimu,Kolimba,Kombe nawengine wengi waliuwawa na nani?
 
Kuna mdau hapa jamvini aliwahi kusema hii nchi bado sana, hata ulaya na maifa mengine ya maana kwenye karne ya 18 hayakufanya mambo katika namna tunayofanya leo!
Tuna taasisi dhaifu sana bado, achilia mbali serikali....!
 
Nafikiri ni vizur watu wa Tz kuelewa nchi yenu inaongozwa kwa Rules of Law. Kwa misingi hiyyo kila muhimili unajitegemea katika kuendesha nchi. yaani Mahakama, Serikali na Bunge. Na vyote haviwezi kungiliana katika maamuzi.

Fuateni sharia mlizojitungia wenyewe katika Katiba yenu
 
Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu

Nawao wanakuona wewe ZUZU na Moja Africa Nzima kwa sababu hujui wanadai nini! Darasa la saba bungeni (Maji Marefu, Jah People) analipwa milioni kumi ,daktari laki tisa.
 
Sasa ndio kitaeleweka kile kinachowasukuma kuwagomea waTanzania licha ya kuwasomesha.
Kama mliajiriwa kwa ajili ya kipato karibuni mitaani kuna pesa hata zaidi ya milioni kumi kwa mwezi.
Katika sakata hili tunasubiri tu kuokota vidole maana hamjui kuwa upande wa pili ndio umeshika mpini.
 
Sawa kabisa nimefurahi kusikia hivyo na bado tunaiomba serikali iwachukulie atua madaktari wote waliogoma na kusababisha vifo vya watanzania wenzetu,ujue unaweza unga mkono mgomo wa madaktari na kuufurahia kiushabiki kwa sababu kifo kutokana na mgomo huu hakijamkuta ndugu yako wa karibu au huna huruma na binadamu wenzako lakini kama yangekukuta nafikiri katika hali ya kawaida ungeungana na watanzania wengi kupinga mgomo wa madaktari na yeyote atakayejifanya anahamasisha watu kuandamana kuipinga serikali atua inazochukua dhidi ya madaktari waliovunja sheria huyo atakuwa ni mwendawazimu na hafahi kuitwa binadamu ni mnyama kwa nini asihamasishe maandamano kipindi kile cha mgomo kuwashinikiza madaktari warejee kazini ili kuokoa maisha ya watanzania waliokuwa wanaumwa! Jamani migomo yote hapa nchini ni ya kisiasa inachochewa na inafadhiliwa na chadema ili kuifanya serikali ya CCM ionekane haiwajali wananchi wake lengo kuidhoofisha CCM kisiasa na kuijenga Chadema ili wananchi wawaone chadema ndiyo wanafaa kushika dola,Ewe mtanzania makini na mzalendo popote ulipo chukua hatua ya makusudi kuelimisha jamii iliyokuzunguka kuikataa chadema kwa namna yoyote ile ili kulinda Amani,Umoja na mshikamano wa watanzania !
 
Kiongozi wa madaktari
nchini Dr. Namala Mkopi (daktari bingwa wa watoto),amefikishwa katika
mahakama ya Kisutu asubuhi hii kujibu shutuma za uchochezi na kupuuza
amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.

N.B. Mgomo huo haukunzishwa na MAT, ulianzishwa na inayoitwa Jumuiya ya
Madaktari chini ya kamati inayoongozwa na Dr. Ulimboka, na kuungwa mkono
na madaktari nchini.

Tusubiri kuona hili saga litakavyoendelea....

Keep your friend close and your enemies closer. Don
Coleorne

He is very luck kumis mabwepande meeting ,another nyakusa on the firering line let see what they will treat this one,by the way MAT waliitisha mgomo lini?
 
Sawa kabisa nimefurahi kusikia hivyo na bado tunaiomba serikali iwachukulie atua madaktari wote waliogoma na kusababisha vifo vya watanzania wenzetu,ujue unaweza unga mkono mgomo wa madaktari na kuufurahia kiushabiki kwa sababu kifo kutokana na mgomo huu hakijamkuta ndugu yako wa karibu au huna huruma na binadamu wenzako lakini kama yangekukuta nafikiri katika hali ya kawaida ungeungana na watanzania wengi kupinga mgomo wa madaktari na yeyote atakayejifanya anahamasisha watu kuandamana kuipinga serikali atua inazochukua dhidi ya madaktari waliovunja sheria huyo atakuwa ni mwendawazimu na hafahi kuitwa binadamu ni mnyama kwa nini asihamasishe maandamano kipindi kile cha mgomo kuwashinikiza madaktari warejee kazini ili kuokoa maisha ya watanzania waliokuwa wanaumwa! Jamani migomo yote hapa nchini ni ya kisiasa inachochewa na inafadhiliwa na chadema ili kuifanya serikali ya CCM ionekane haiwajali wananchi wake lengo kuidhoofisha CCM kisiasa na kuijenga Chadema ili wananchi wawaone chadema ndiyo wanafaa kushika dola,Ewe mtanzania makini na mzalendo popote ulipo chukua hatua ya makusudi kuelimisha jamii iliyokuzunguka kuikataa chadema kwa namna yoyote ile ili kulinda Amani,Umoja na mshikamano wa watanzania !

lusinde brain@work
 
Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu

Zuzu ni wewe unaeshindwa kuelewa madai ya msingi ya madaktari juu uboreshwaji wa sekta ya afya!ni nchi gani duniani ambayo hakuna hata hospitali yake moja ya rufaa yenye ct scan,au madr wasipogoma ndio wagonjwa wataacha kulala chini?au hospital ndio zitakua na madawa ya kutosha na kina mama wajawazito wataambiwa wasiende hospital na vifaa vya kujifungulia?
 
Sasa ndio kitaeleweka kile kinachowasukuma kuwagomea waTanzania licha ya kuwasomesha.
Kama mliajiriwa kwa ajili ya kipato karibuni mitaani kuna pesa hata zaidi ya milioni kumi kwa mwezi.
Katika sakata hili tunasubiri tu kuokota vidole maana hamjui kuwa upande wa pili ndio umeshika mpini.

Hata Gaddaffi alishika mpini kwa muda flani! Unajua yeye yuko wapi na familia yake je? Fikiria zaidi ya kesho, siyo ukishiba leo ndo umeukata!!!
 
Nawao wanakuona wewe ZUZU na Moja Africa Nzima kwa sababu hujui wanadai nini! Darasa la saba bungeni (Maji Marefu, Jah People) analipwa milioni kumi ,daktari laki tisa.

Wewe Ndiyo zuzu,jamani ubunge ata wewe unaweza kugombea na kupewa mshahara mzuri kwa hiyo ata madaktari wanaweza kuacha taaluma yao na kwenda kugombea ubunge na kupewa mshahara mzuri,ukiona udaktari haufahi unaweza acha na kwenda kwenye ubunge!
 
Mlevi mwingine kawasili toka kwa Nape anaganga hela ya chupa za gongo jioni
 
JF si mahali pa watu wa aina yako,wasiojua nini kinaongelewa na kujibu tofauti na hoja iliyopo mezani
katafute mitandao ya watu wanaoweka akili zao likizo kama wewe.
kuhusu Dr.Mkopi don't worry Mungu siku zote anasimama upande wa haki" ni suala la muda tu.

Hapa JF Kila mtu ana uhuru wa kuchangia mawazo yake kulingana na mtazamo wake. Na sio lazima kila mchango utakaotolewe ukufurahishe. I think he is right!!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom