Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 837
I think Kamala is being unfairly treated
Mustafa Mkullo ana degree feki na hamlalamiki
why pick on Kamala?
Mustafa Mkullo ana degree feki na hamlalamiki
why pick on Kamala?
I think Kamala is being unfairly treated
Mustafa Mkullo ana degree feki na hamlalamiki
why pick on Kamala?
SlidingRoof
Waache wendelee na wivu wao. Kama wanataka waende pale viwanja vya Ikulu asubuhi hii waone jamaa anavyoukwaa Ubalozi.
Kumbukeni, Rais ni Institution, kwani Institutions zote zilizompitisha kwenye vetting mnaona hazifai? Kamala yuko fit, acha wifu wenu. Alianza siasa tukea akiwa kijana pale Bukoba Sec, Ihungo Sec, na Mzumbe. Ubalozi unamfaa sana, maana ni smart sana kwenye lobying na advocacy. Hakika Mhe. Rais hajakosea!
Kwa taarifa tu, ni wengi wanapendekezwa lakini vetting inawatoa nje...kwa sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na PR, Wivu, Fitina, Unoko, Mtima-nyongo, n.k
Hongera Sana Dr. Kamala kwa kuukwaa Ubalozi wa Kuiwakilisha Tanzania Jumuiya ya Ulaya. Mwenyezi Mungu akupe nguvu, busara na hekima katika majukumu yako mapya:A S 465:

ATAWEZA WAPI??Bottom line: Umeshindwa kuthibitisha udokta wa huyo kichwa wenu Kamala, I bet kama huyu ndio kichwa huko kwenu kweli mmeliwa.
Maelezo marefu si sawa na ukweli.
jibu swali wewe... kamala ana PhD??
umekalia wivu, wivu mara rais hajakosea, mara rais ni isntitution........... sasa institution ndio iajiri watu wakujibandika vyeo kama akina profesa Eyesu au majimarefu wewe??
usinunue sympathy no matter how good one is, once his/ner integrity is questioned, basi hafai.... huwezi kuhalalisha kamala kwa kumlinganisha na mkulo, mkulo's case is worse, but does that justify another poor decision?? do we grace forgery and vihiyo??? hell nope!!!
Unamuombea Mungu ampe hekima... zipi ssa za kufoji au za ujivuni??
and unasifia kwamba alianza siasa tangu akiwa ihungo... mabalozi ni wanasiasa??
MASWALI YA MSINGI UNAKWEPA NA KUKIMBILIA SYMPATHY...
Huyu jamaa katajwa hata kwenye kitabu cha bwana Kainerugaba Msemakweli "mafisadi wa elimu Tanzania"
Unakiamini kitabu hicho ambacho hata ukikisoma kina vimaksoa vya hapa na pale na tena hata wachapishaji hawajajitaja kwa jili ya kukwepa liability which means hawakuwa na imani kubwa ya ukweli wa waliyoyachapisha
You made me laugh.... Kumbe zile special skills zote na quality ni ujinga eh? Haya bhana na sie tufoji degree za vikopo tuwe mabaloziUbalozi ni nafasi ya kisiasa duniani kote.
Mnamuonea wivu bure mwenzenu....na pengine nyie ni mate zake mnaomponda....watu wengine sijui tukoje?Tafadhari acheni wivu, nanyi pambaneni kivyenu vyenu....one day yes! Nani kasema Ubalozi lazima uwe na PhD? Basi, kama mnaweza kimbia haraka pale Ikulu muwahi kabla Mhe. Rais hajamuapisha kuwa Balozi wetu Mpya - EU, maana hana integrity kama mnavyodai:eyebrows:
uko right.. But that doesnt justify forgery/lying to elevate fake status.... Hakuna aliyejustify phd ya kikopo.Kama vyeti ni issue anagalia basi hii link ya CV ya Mhe. Gobless Lema halafu uendelee, je na yeye anafaa kuwa Mbunge kwani hata hiki cho chake magumashi, eti Cambridge International Colleege (Parliament of Tanzania ):lol::lol: