"DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

I think Kamala is being unfairly treated

Mustafa Mkullo ana degree feki na hamlalamiki

why pick on Kamala?

SlidingRoof

Waache wendelee na wivu wao. Kama wanataka waende pale viwanja vya Ikulu asubuhi hii waone jamaa anavyoukwaa Ubalozi.

Kumbukeni, Rais ni Institution, kwani Institutions zote zilizompitisha kwenye vetting mnaona hazifai? Kamala yuko fit, acha wifu wenu. Alianza siasa tukea akiwa kijana pale Bukoba Sec, Ihungo Sec, na Mzumbe. Ubalozi unamfaa sana, maana ni smart sana kwenye lobying na advocacy. Hakika Mhe. Rais hajakosea!

Kwa taarifa tu, ni wengi wanapendekezwa lakini vetting inawatoa nje...kwa sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na PR, Wivu, Fitina, Unoko, Mtima-nyongo, n.k

Hongera Sana Dr. Kamala kwa kuukwaa Ubalozi wa Kuiwakilisha Tanzania Jumuiya ya Ulaya. Mwenyezi Mungu akupe nguvu, busara na hekima katika majukumu yako mapya:A S 465:
 
Bottom line: Umeshindwa kuthibitisha udokta wa huyo kichwa wenu Kamala, I bet kama huyu ndio kichwa huko kwenu kweli mmeliwa.

Maelezo marefu si sawa na ukweli.
 
jibu swali wewe... kamala ana PhD??

umekalia wivu, wivu mara rais hajakosea, mara rais ni isntitution........... sasa institution ndio iajiri watu wakujibandika vyeo kama akina profesa Eyesu au majimarefu wewe??

usinunue sympathy no matter how good one is, once his/ner integrity is questioned, basi hafai.... huwezi kuhalalisha kamala kwa kumlinganisha na mkulo, mkulo's case is worse, but does that justify another poor decision?? do we grace forgery and vihiyo??? hell nope!!!

Unamuombea Mungu ampe hekima... zipi ssa za kufoji au za ujivuni??

and unasifia kwamba alianza siasa tangu akiwa ihungo... mabalozi ni wanasiasa??

MASWALI YA MSINGI UNAKWEPA NA KUKIMBILIA SYMPATHY...
 
ATAWEZA WAPI??

hawa si ndio wale wapambe wanaoharibu nchi?? Kamala na wote wanaofoji vyeti hawafai kwa chochote kwani integrity imechafuka (ni sawa ni convicts)

halafu mtu anakuja kusifia, mara rais, mara Mungu, mara busara my foot

this country is very ngumu aisee
 
jibu swali wewe... kamala ana PhD??

umekalia wivu, wivu mara rais hajakosea, mara rais ni isntitution........... sasa institution ndio iajiri watu wakujibandika vyeo kama akina profesa Eyesu au majimarefu wewe??

usinunue sympathy no matter how good one is, once his/ner integrity is questioned, basi hafai.... huwezi kuhalalisha kamala kwa kumlinganisha na mkulo, mkulo's case is worse, but does that justify another poor decision?? do we grace forgery and vihiyo??? hell nope!!!

Unamuombea Mungu ampe hekima... zipi ssa za kufoji au za ujivuni??

and unasifia kwamba alianza siasa tangu akiwa ihungo... mabalozi ni wanasiasa??

MASWALI YA MSINGI UNAKWEPA NA KUKIMBILIA SYMPATHY...

Ubalozi ni nafasi ya kisiasa duniani kote.

Mnamuonea wivu bure mwenzenu....na pengine nyie ni mate zake mnaomponda....watu wengine sijui tukoje?Tafadhari acheni wivu, nanyi pambaneni kivyenu vyenu....one day yes! Nani kasema Ubalozi lazima uwe na PhD? Basi, kama mnaweza kimbia haraka pale Ikulu muwahi kabla Mhe. Rais hajamuapisha kuwa Balozi wetu Mpya - EU, maana hana integrity kama mnavyodai:eyebrows:
 
Huyu jamaa katajwa hata kwenye kitabu cha bwana Kainerugaba Msemakweli "mafisadi wa elimu Tanzania"

Unakiamini kitabu hicho ambacho hata ukikisoma kina vimaksoa vya hapa na pale na tena hata wachapishaji hawajajitaja kwa jili ya kukwepa liability which means hawakuwa na imani kubwa ya ukweli wa waliyoyachapisha
 
Naililia kura yangu niliyowapa CCM na JK 2005 tutafika 2015 Tanzania iliyochoka sana.
 
Kuapishwa lazima aapishwe lakini hilo halimfanyi kuwa balozi safi mbele ya hadhira anayoiwakilisha. Mbona JK aliapa kwa kutumia vitabu vya dini ilhali anajua hakupata ushindi kwa njia za halali na haki?
Huu ni mwendelezo wa vitimbwi vinavyofanywa na watu wenye calibre moja ya ufisadi.
 
Nini kiliwazuia kutokwenda mahakamani kama baadhi yao walivyotishia? Kukaa kwao kimya huku kuna ushahidi wa kuwalinda kama unavyosema inaonesha sio viongozi makini, upande mwingine wa shilingi unaonesha waliamua kukaa kimya kutokana na ukweli ulivyowekwa wazi.
Unakiamini kitabu hicho ambacho hata ukikisoma kina vimaksoa vya hapa na pale na tena hata wachapishaji hawajajitaja kwa jili ya kukwepa liability which means hawakuwa na imani kubwa ya ukweli wa waliyoyachapisha
 
Maamuzi ja JK hayanishangazi kwani yeye na sisiemu yake wamekuwa wakiwabeba Vihiyo na Wajinga wengine ndo mana hata taifa limefika hapa lilipo. Ukweli na Ufanisi ndani ya sisiemu ni Dhambi kubwa. Wengi wao elimu zao ndo hivyo za kuunga unga, angalia wanavyopeana uongozi wa vyuo(Mkapa-Udom, Malecela-Open, Samata-Mzumbe) Mnategemea nini kama sio utumbo kama huo?
 
Hivi unapomchagua dereva mlevi akuendeshe alafu anapeleka gari porini- nani wakulaumiwa?
When you have nothing to loose and the work become unbearable: your brain goes to holidays, your eyes become blind and ears become deaf.
Mwisho kabisa mishipa ya haya hukatika- Na hivyo huoni tena aibu kwa lolote---> Kwangu mimi kumchagua yule anaejiita Dr. Kamala katika nafasi yeyote kubwa zaidi ya ubunge ni lazima uwe out of sense.
 
bakini na kelele mwenzio wakati anatangazwa ana VISA YA UBELGIJI KWENYE **** KAZI KWENU MLIOBAKIA MANZESE KWA MFUGA MBWA
 
Waziri wa Fedha wa Tanzania ana degree feki

kila mtu analijua hilo

mbona hamkusema kitu?

I think hizi ni double standards za JF kila kukicha
 
Ha ha hahaaaa, naona huu mjadala unaangalia sana mashule shule na wivu wa kishule shule, Uwezo wa mtu siyo lazima utokane na kusoma, mm nauliza, Mbowe, Mnyika, Sugu na wengineo wengi wana elimu gani ya kumtisha mtu. Suala ni uwezo wa mtu siyo kuangalia mashule. Usihukumu mtu, kama ana PhD feki si uende mahakamani kudai afutiew. Hizi titles si issue! Issue ni uwezo. Najua sana watu kinachotawala hapa ni wivu tu. Zamani walikuwa wanakuja wazungu hata Degree hawana lakini walikuwa wanapewa vitengo balaa. Na hata sasa kuna makampuni makubwa tu kama Vodacom, Airel, wakurugenzi wa kigeni siyo kwamba wana ma -elimu makuuubwa. Mnyika ni machine sana, na alikuwa best form four, six hakufanya vizuri sana, kwa sababu alianza uanaharakati mapema, na kila mtu anajua na hakuna wa kumbeza kwa hilo! Kamala beba bendera ya taifa na utuwakilishe vizuri mkuu.
 
Kama vyeti ni issue anagalia basi hii link ya CV ya Mhe. Gobless Lema halafu uendelee, je na yeye anafaa kuwa Mbunge kwani hata hiki cho chake magumashi, eti Cambridge International Colleege (Parliament of Tanzania ):lol::lol:
 
Kuna wadanganyika naona wanachanganya madawa hapa..( i wonder why i am not surprised). Ishu sio ilmu ya ukubwa gani au madarasa mangapi au kuna wengine nao hawana vyeti za elimu wanazonadi kuwa nazo, hatupo huko, tujadili hoja moja baada ya nyingine, kama unayo hoja tofauti fungua uzi mwingine..ishu hapa ni kwanini mtu ajitwishe udokta wakati hana hiyo shule.. huu ndio ufisadi unaojadiliwa hapa. Kama ni ngumu sana kuelewa bahati mbaya sana maana umezaliwa na kichwa kigumu sana kuliko nazi.
 
Ubalozi ni nafasi ya kisiasa duniani kote.

Mnamuonea wivu bure mwenzenu....na pengine nyie ni mate zake mnaomponda....watu wengine sijui tukoje?Tafadhari acheni wivu, nanyi pambaneni kivyenu vyenu....one day yes! Nani kasema Ubalozi lazima uwe na PhD? Basi, kama mnaweza kimbia haraka pale Ikulu muwahi kabla Mhe. Rais hajamuapisha kuwa Balozi wetu Mpya - EU, maana hana integrity kama mnavyodai:eyebrows:
You made me laugh.... Kumbe zile special skills zote na quality ni ujinga eh? Haya bhana na sie tufoji degree za vikopo tuwe mabalozi

but that doesnt justify phd ya jamaa... With or without wivu
 
Kama vyeti ni issue anagalia basi hii link ya CV ya Mhe. Gobless Lema halafu uendelee, je na yeye anafaa kuwa Mbunge kwani hata hiki cho chake magumashi, eti Cambridge International Colleege (Parliament of Tanzania ):lol::lol:
uko right.. But that doesnt justify forgery/lying to elevate fake status.... Hakuna aliyejustify phd ya kikopo.

Hapa issue ni cheating
 
Back
Top Bottom