CommonWealth Open University | PhD (Management) | 2001 | 2003 | PHD |
CommonWealth Open University | MSc. (Management) | 1999 | 2001 | MASTERS DEGREE |
Mzumbe University | MBA (Finance & Banking) | 2001 | 2003 | MASTERS DEGREE |
Institute of Development Management - Mzumbe | Advanced Diploma in Administration | 1994 | 1997 | ADV DIPLOMA |
Forest Hill Secondary School | A-Level Education | 1991 | 1993 | HIGH SCHOOL |
Sangu Secondary School | Secondary Education | 1989 | 1990 | SECONDARY |
Uru Seminary | Secondary Education | 1987 | 1989 | SECONDARY |
Oysterbay Primary School | Primary Education | 1980 | 1986 | PRIMARY |
CERTIFICATIONS |
Ni embarrassment kwa mtu huyu kupewa ubalozi kwenye first world country na bado kujiita "DR" wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua hii ni PHD feki kutupwa!
Mmakonde
Acha WIVU ndugu. Ungetaka upewe wewe? Dr. Deodorus B. Kamala siyo mwenizo na anao uwezo mkubwa tena sana. Alipokuwa Waziri wa Afrika Mashariki mbona hukuyasema haya? Kwani alishindwa kazi hiyo? Kwa taarifa yako, Belgium ni portifolio kubwa katika kada za balozi zetu nje. Ni sawa na Pretoria, New York na Addis. Na kesho anaapishwa na anatinga zake Brussels....WENYE WIVU JIWEKENI VITANZI....MKAJINYONGE, period!
Mhe. Rais, pokea pongezi nyingi toka kwa sisi tunaopenda mafanikio ya vijana wenzetu.
Hongera zako Dr. Kamala, na mwenyezi Mungu akubariki sana sana!
Ulikuwa unataka uende wewe. Wabongo wivu utatumaliza.
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Institute of Development Management- Mzumbe Advanced Diploma in Economic Planning (ADEP) 1992 1995 ADV DIPLOMA
Lincoln University MSc. (Organisational Systems) 1996 1997 MASTERS DEGREE
Humberside, Brandford University MSc. (Agricultural Development and Rural Finance) 1997 1998 MASTERS DEGREE
Mugana B Primary School Primary Education 1978 1981 PRIMARY
Rumuli Primary School Primary Education 1982 1984 PRIMARY
Bukoba Secondary School O-Level Education 1985 1988 SECONDARY
Ihungo Secondary School A-Level Education 1989 1991 HIGH SCHOOL
Commonwealth Open University PhD in Economics 2002 2004 PHD
Source: Bunge la bongo!
Huyu jamaa katajwa hata kwenye kitabu cha bwana Kainerugaba Msemakweli "mafisadi wa elimu Tanzania"
Mmakonde
Acha WIVU ndugu. Ungetaka upewe wewe? Dr. Deodorus B. Kamala siyo mwenizo na anao uwezo mkubwa tena sana. Alipokuwa Waziri wa Afrika Mashariki mbona hukuyasema haya? Kwani alishindwa kazi hiyo? Kwa taarifa yako, Belgium ni portifolio kubwa katika kada za balozi zetu nje. Ni sawa na Pretoria, New York na Addis. Na kesho anaapishwa na anatinga zake Brussels....WENYE WIVU JIWEKENI VITANZI....MKAJINYONGE, period!
Mhe. Rais, pokea pongezi nyingi toka kwa sisi tunaopenda mafanikio ya vijana wenzetu.
Hongera zako Dr. Kamala, na mwenyezi Mungu akubariki sana sana!
Kumpeleka Kamala Brussels Tanzania tumepoteza big time for sure .
acha unoko kwani Mzumbe n do niniHiyo ingine ni ya "DR" Nchimbi,ajabu wote ni wana MZUMBE!
hujajibu hoja ya Mmakonde ambayo ni kuhusu PhD feki kwamba kitendo alichokifanya jk ni kibaya ni sawa na ku mreward mtu for committing criminal offense kumbuka hawa wote walipotajwa na msemakweli walisema wangemfikisha mahakamani akiwemo Mahanga kuwa wanakwenda mahakamani lakini mpaka hivi leo hawajafanya hivyo what does that tell you ?? what kind of message does jk send to society?? that it is ok to forge a certificate to get a job!!!. jibu hoja na sio kumshambulia mmakonde personal kumbuka hii.Mmakonde