"DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

b9.jpg

Nani kasema kuwa elimu ndio ufunguo wa maisha?
 
Nyami2010 umetumwa kumsafisha Phd faker?

Zungumzia uhalali wa PHD aliyonayo,suala la wivu ni umbea.Ningekuwa foreign affairs ni msomi toka UDSM au chuo chochote kitambulikano,halafu naona mediocre mmoja mwenye Phd feki anakwenda Belgium,hapo ungesema.Nina bahati ya kukaa first class country na kusafiri !Nafikiri Tanzania tutakuwa wa kwanza duania kuwakilishwa na mtu mwenye Phd feki Ulaya.
Tulikuwa wa kwanza EA ,akina Fumbuka na Kamala.

Also tuko wa kwanza kwa bunge letu kuwa na wenye Phd feki duniani!

Sasa ufeki wetu unavuka bahari na kutua ulaya!
Commonwealth Open university wanafurahia hili kuwa kijana wao ni balozi ubelgiji.

Enzi ya mwalimu huu upuuzi haukuwepo kabisa!
Mabalozi walikuwa mabolozi hasa!
Ma Dr wallikuwa ni Dr,tunamkumba dr Wilbert Chagula!!!!!!!
 
ngoma nzito

mimi hapa naona kuna watu wanataka ku whitewash the entire thing kuwa haina matatizo lakini as we dig deep this thing is disgraceful kwetu kama taifa

kwa nini serikali au waziri wa elimu isitoe tamko rasmi kuhusu hizi tuhuma za degrees feki
 
Nyami2010 umetumwa kumsafisha Phd faker?

Zungumzia uhalali wa PHD aliyonayo,suala la wivu ni umbea.Ningekuwa foreign affairs ni msomi toka UDSM au chuo chochote kitambulikano,halafu naona mediocre mmoja mwenye Phd feki anakwenda Belgium,hapo ungesema.Nina bahati ya kukaa first class country na kusafiri !Nafikiri Tanzania tutakuwa wa kwanza duania kuwakilishwa na mtu mwenye Phd feki Ulaya.
Tulikuwa wa kwanza EA ,akina Fumbuka na Kamala.

Also tuko wa kwanza kwa bunge letu kuwa na wenye Phd feki duniani!

Sasa ufeki wetu unavuka bahari na kutua ulaya!
Commonwealth Open university wanafurahia hili kuwa kijana wao ni balozi ubelgiji.

Enzi ya mwalimu huu upuuzi haukuwepo kabisa!
Mabalozi walikuwa mabolozi hasa!
Ma Dr wallikuwa ni Dr,tunamkumba dr Wilbert Chagula!!!!!!!

atumwe wapi? anajituma tu....
 
Naona wiki hii tuendelee na hizi degree feki threads

mie threads za kafulila naona zinatupotezea focus
 
kila la kheri kamala tunakutakia kazi njema ya kuiwakilisha nchi huko Ubeligiji na ili kuwaonesha kuwa Phd.yako sio feki we chapa kazi wenye wivu wajinyonge.
 
Back
Top Bottom