Dr. Hussein Mwinyi Must Resign/get fired for Gongo la Mboto armory Inferno

Chedma wakiwa Arusha walisema nchi hii haikaliki je hii ndo madhara yake?

Sio madhara yake. Ndiyo dalili yake, kwani kwa mtu yeyote aliye makini ataona udhaifu wa hii serikali na ni rahisi kutabiri kuwa itawashinda...
 
Tatizo ninaloliona ni kuwa watendaji wengi Serikalini vikiwamo vyombo vya dola wameacha mipango yote na kujikita tuu kwenye mipango ya namna ya kukiangamiza chama kikuu cha upinzani nchini kwa sasa. No critical thinking at all

Kwa hiyo kwa namna moja au nyingine CHADEMA inawavuruga!!
 
Usiwaingize wenzio mkenge Kaka, ziko njia za kistaarabu na za kisomi zaidi ku deal na issues za namna hii. Yaliyotokea Egypt hayako applicable kila nchi ndugu yangu. Hiyo siyo formula, it really depends on numerous factors to achieve that goal.

Natamani nikuite mpumbavu, ila kwa kuwa ni tusi sisemi tena!
 
It is true, hata kwenye thread nyingine nime-suggest, Dkt. Mwinyi must go this time around. Kama Pinda anakiri kuwa kuna maiti 17 or probably 20, na majeruhi 100 na kitu, ujue maafa ni makubwa sana. Anapaswa asubuhi hii wakati anakwenda kuonana na rais kwenye kikao cha baraza la uslama la taifa, aende a na barua akakabidhi ya kujiuzulu. Ndivyo alivyofanya Abdalla Natepe, alipoenda kuwmona Nyerere, wakati Mwalimu anashuka kwenye ngazi kabla hawajasalimiana, alimuuliza Abdallah unayo barua ya kujiuzulu, naye akasema ninayo hapa, akakabidhi, kisha mazungumzo ndiyo yakaendelea.
 
Ni mara ya nne mabomu; G-mboto 3x, mbagala 1x. mbili za G-Mboto haziku vuma sana. Something must be done. watu wawajibike. waziri, mkuu wa majeshi etc...
 
watanzania tumezoea sasa kufa kama kuku,mabomu yanalipuka zaidi ya kilomita kumi kutoka kambi ya jeshi huku ikiwa ni mara ya pili kutokea baada ya yale ya mbagala.kwa dhana nzima ya uwajibikaji kabla hakujakucha asubuhi ya leo watanzania tungependa kusikia kuwa watajwa hapo juu wamejiuzulu nyadhifa zao mara moja sio kwa kusababisha mauaji bali wameshindwa kudhibiti hali hiyo na kwa hiyo haraka sana wanatakiwa wawajibike kwa kuendelea kusimamia mauji ya bahati mbaya na yale yakukusudia kama ya arusha.

Kwa kuwa pinda aliitumia taarifa ya polisi kule arusha kuueleza umma kuwa chadema ilisababisha mauaji kule arusha.sasa mungu amejibu kwa kuwaonyesha watanzania kuwa serikali hii haipo makini kaika kulinda maisha ya watanzania kwa kuwa:
1.muda si mrefu kule mbagala yalilipuka mabomu na watu kadhaa wakapoteza maisha,wananchi wakapiga kelele na baadaye kama kawaida wakabadilishiwa cd wakasahau.
2.kule arusha polisi waliwauwa raia badala serikali kufuatilia na kuona uhalali wa mauaji yale,serikali ilipongeza jeshi hilo kwa kuua na kuwaeleza watanzania kuwa chadema ndiyo imeua.
3.kule mbalizi aliuwawa raia kwa jitihada za kumlinda mwekezaji naye pinda akasema ulikuwa ukorofi wa wananchi.
4.leo yametokea ya gongo la mboto,kesho ni lazima watakuja tena na majibu mepesi kwa maswali magumu kama kawaida yao.karibuni kumsikiliza pinda kesho

swali,taarifa za kiitenligensia za mwema leo zilisafiri?

Muda wa hawa watu kusimamia mauaji ya watanzania umekwisha sasa yatosha waachie ngazi.
MBUMBAVU JK
PUMBAVU MWINYI
PUMBAVU PINDA
PUMBAVU WOOTE WANAOSHABIKIA SIASA
PUMBAVU CCM
PUMBAVU MAKAMBA
PUMBAVU MABOM
PUMBAVU DOWANS
PUMABAVU EPA
SHENZI ZENU!n
 
Nadhani rais na serikali yake wanatakiwa kuondoka tu jamani tumechoka mno na matukio ya uzembe kila kukicha
 
Bado kambi ngapi hapa mjini kulipuka...naongelea zile zilizopo ndani ya jiji la Dar es Salaam.

TANZANIA ZAIDI YA UIJUAVYO.
 
Nitawajibika Ukiwepo Uzembe : Mwinyi
April 2009

Baada ya kulipuka kwa mabomu ya Jeshi la Wananchi huko Mbagala na kusababisha Vifo vya watu kadhaa huku wengine wakijeruhiwa na kuharibiwa makazi yao, kamati iliundwa ili kufanya uchunguzi kubaini chanzo na mazingira halisi ya kisa cha kutokea maafa hayo.
mabomu_mbagala1.jpg



Akizungumzia suala hilo Waziri wa ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dr. Hussein Mwinyi ameeleza wazi kuchukua hatua ya kuwajibika kwa kujiuzulu iwapo ripoti ya uchunguzi itabainisha kuwepo uzembe wa kiutendaji katika kulishughulikia suala hilo muhimu kabisa katika nchi.
Waziri aliendelea kueleza kuwa kazi ya kuyadhibiti mabomu hayo na kusafisha eneo husika bado inaendelea na kwamba Jeshi hilo linafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kila kitu kiko sawa ili kudumisha usalama.
============================================

Report on Mbagala Bomb Blasts
Daily News, 27th August 2009

REPORT on the source of a series of bomb blasts at the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) base at Mbagala in Dar es Salaam some four months ago has been handed over to the government.

The Minister for Defence and National Service, Dr Hussein Mwinyi said yesterday that he had already received the report on the accident which claimed lives of 26 people and destroyed properties worth billions of shillings.

"The team has completed its task and the report is now in my office waiting for some few official procedures before we make it public, but it will be out soon," he said. Dr Mwinyi reiterated his stance that he would resign if the report mentions negligence on TPDF as one source of the blasts.

The minister said from his glance of the report, it was comprehensive and exhaustive as it even suggests strategies of containing similar incidents in the future. He further said that since the incident took place early April, this year, the government launched several sensitisation campaigns aimed at educating people on the dangers of constructing houses within the military buffer zones.
 
Wale walinzi wasioonekana wanaomlinda mkulu chakula chao ni damu za binadamu, kwa kazi nzuri wanayofanya ya kutoa ulinzi wamefanyiwa tafrija jana huko gongo la mboto. Tutegemee damu nyingi kumwagika kwa miaka mitano hii.
 
-kaa chini ufikirie kwa umakini icho ulichoandika kama ni sahihi au ulikurupuka tu..
-nashukuru ndani ya JF kuna wachangiaji mahiri ambao huwa wanachangia ili kuifuta mada isiyopangiliwa kama hii.
-am very sorry kama ntakua nimekukosea mwandishi na wengineo
 
Gen Shimbo umekua busy sana na mambo ya kipuuzi eti kusaidia nchi itawalike na kutoa vitisho kwa wananchi ukiacha kazi yako hasa ya kulinda mipaka ya nchi.

Sasa kwa hili la mabomu ya gmboto wewe na waziri wako hii ni mara ya 3 sasa mabomu kulipuka na kuua watu kwa uzembe wako na kutokutimiza majukumu yako kama mnadhimu mkuu wa jesh .

Sasa tunakutaka basi uwe muungwana ujiuzulu mana mkwere hawezi kukufukuza jiuzulu ukafanye kazi na ccm umepwaya sana kwa nafasi uliyopo.
 
sasa hawa watu ni maandamano pekee ndio yatakayowafanya wajiuzulu la sivyo watakuja na sababu kibao.....
 
Back
Top Bottom