Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,463
- 39,929
Hussein must resign..
Watawaambia ni ajali na ajali haina kinga; itakuwa ni sawa na "kutafutana uchawi" n.k n.k n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hussein must resign..
watanzania tumezoea sasa kufa kama kuku,mabomu yanalipuka zaidi ya kilomita kumi kutoka kambi ya jeshi huku ikiwa ni mara ya pili kutokea baada ya yale ya mbagala.kwa dhana nzima ya uwajibikaji kabla hakujakucha asubuhi ya leo watanzania tungependa kusikia kuwa watajwa hapo juu wamejiuzulu nyadhifa zao mara moja sio kwa kusababisha mauaji bali wameshindwa kudhibiti hali hiyo na kwa hiyo haraka sana wanatakiwa wawajibike kwa kuendelea kusimamia mauji ya bahati mbaya na yale yakukusudia kama ya arusha.
Kwa kuwa pinda aliitumia taarifa ya polisi kule arusha kuueleza umma kuwa chadema ilisababisha mauaji kule arusha.sasa mungu amejibu kwa kuwaonyesha watanzania kuwa serikali hii haipo makini kaika kulinda maisha ya watanzania kwa kuwa:
1.muda si mrefu kule mbagala yalilipuka mabomu na watu kadhaa wakapoteza maisha,wananchi wakapiga kelele na baadaye kama kawaida wakabadilishiwa cd wakasahau.
2.kule arusha polisi waliwauwa raia badala serikali kufuatilia na kuona uhalali wa mauaji yale,serikali ilipongeza jeshi hilo kwa kuua na kuwaeleza watanzania kuwa chadema ndiyo imeua.
3.kule mbalizi aliuwawa raia kwa jitihada za kumlinda mwekezaji naye pinda akasema ulikuwa ukorofi wa wananchi.
4.leo yametokea ya gongo la mboto,kesho ni lazima watakuja tena na majibu mepesi kwa maswali magumu kama kawaida yao.karibuni kumsikiliza pinda kesho
swali,taarifa za kiitenligensia za mwema leo zilisafiri?
Muda wa hawa watu kusimamia mauaji ya watanzania umekwisha sasa yatosha waachie ngazi.
Hussein must resign..
This government is corrupt, do not ask me why
Jk Must Resign soon