Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
kwanza kwa usumbufu aliousababisha kwa kujitengua kwenye uchaguzi uliopita alistahili kufungiwa kutoshiriki siasa kabisa.
Wana-CCM ndiyo wanamsikiliza. Kwa nini asiweke strategy na Ridhiwani wake kuweka mawakili kuwasaidia iwapo wataamua kwenda mahakamani?
Wadau,nasikiliza redio hapa, taarifa ya saa 12 jioni hii, kwamba Dovutwa- mwenyekiti wa UDPD ameitisha press confernce na kutetea hatua ya Ridhiwani kutaka kuwapeleka court Dr Slaa na Mch Mtikila.....kaongea mengi, ila zaidi kawashangaa kushusha tuhuma za uwongo kwa Ridhiwani wakati wao ni zaidi ya wanasiasa, yaani ni watu wa dini,,,eti wasiongee kama 'watu wa mitaani'...
hivi dovutwa ndio mboga gani na inapikwaje?, mbona sijawahi kuisikia?
Wadau,nasikiliza redio hapa, taarifa ya saa 12 jioni hii, kwamba Dovutwa- mwenyekiti wa UDPD ameitisha press confernce na kutetea hatua ya Ridhiwani kutaka kuwapeleka court Dr Slaa na Mch Mtikila.....kaongea mengi, ila zaidi kawashangaa kushusha tuhuma za uwongo kwa Ridhiwani wakati wao ni zaidi ya wanasiasa, yaani ni watu wa dini,,,eti wasiongee kama 'watu wa mitaani'...
Yaani mlugaluga anashtakia kwa wenzake!! wazandiki bwana!Wadau,nasikiliza redio hapa, taarifa ya saa 12 jioni hii, kwamba Dovutwa- mwenyekiti wa UDPD ameitisha press confernce na kutetea hatua ya Ridhiwani kutaka kuwapeleka court Dr Slaa na Mch Mtikila.....kaongea mengi, ila zaidi kawashangaa kushusha tuhuma za uwongo kwa Ridhiwani wakati wao ni zaidi ya wanasiasa, yaani ni watu wa dini,,,eti wasiongee kama 'watu wa mitaani'...
DOVUTWA ni ukakasi mi navyojua, afya yake mbovu anajikomba kwa bwn riz one ili apate vijisenti,updp ni chama cha magamba c.
Mimi nilivyosikia UPDP nilidhani ni chama cha Uganda ila walivyotaja Dovutwa ndo nikamkumbuka, nikafikiri jamaa amekuwa kimya toka alazwe baada ya kuskia kuna issue inamgusa mtoto wa rais akaona naye adandie walau atapata coverage ya vyombo vya habari ila kasikika.Wadau,nasikiliza redio hapa, taarifa ya saa 12 jioni hii, kwamba Dovutwa- mwenyekiti wa UDPD ameitisha press confernce na kutetea hatua ya Ridhiwani kutaka kuwapeleka court Dr Slaa na Mch Mtikila.....kaongea mengi, ila zaidi kawashangaa kushusha tuhuma za uwongo kwa Ridhiwani wakati wao ni zaidi ya wanasiasa, yaani ni watu wa dini,,,eti wasiongee kama 'watu wa mitaani'...