Dovutwa amtetea Ridhiwani; awaponda Dr. Slaa na Mtikila

Huyu hiyo PRESS CONFERENCE na yenyewe atakuwa amelipiwa pia na hao wazee wa mjini mjini
 
Who is this Dovutwa?

Huyu aligombea Urais mwaka jana na kama sikosei alipata kura 0.00000001%. Nani anamjua? Sana sana ni kibaraka wa CCM anayetumiwa na Riz wakishirikiana na baba yake Kiwete!

Dovutwa ni wa kupuuzwa hana jipya.
 
Dovutwa is nobody in the arena of politics, is non-existent.
So forget about him.
 
Naomba niuliza alipata kura ngapi ktk uchaguzi mkuu? Jamani CCM kweli wamekosa vibaraka mpaka Dovutwa!!! Sijui kapewa shs ngapi maskini weee Pole kaka Mzee Dovutwa njaa mbaya
 
Mgombea wa Uraisi wa Tanzania kwa tiketi ya United People's Democratic Party, UPDP, Fahmi Nasoro Dovutwa amejiondoa katika kinyang'anyiro hicho na kusema kuwa kura yake atampa mgombea wa kiti hicho kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, Jakaya Mrisho Kikwete.
1727697.jpg

Fahmi Nasoro Dovutwa/UPDP​

Dovutwa amesema uamuzi huo unatokana na kukosewa kwa jina lake katika fomu za uteuzi zilizowakilishwa katika tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania, NEC, ambapo amesema zinaweza kusababisha utata wakati wa kuapishwa ikiwa atashinda uchaguzi huo, hivyo badala ya kuharibu kura hizo, ameamua kumuunga mkono Kikwete.

Amesema amemuunga mkono Kikwete kwa kuwa ndiye mgombea asiye na udini, ukabila wala kutishia kumwaga damu ili kushinda katika uchaguzi huo. Akasema kwa sasa hataki kuleta vurugu za kufuatilia suala hilo la kukosewa jina lake, bali ataendelea kufuatilia suala hilo NEC baada ya uchaguzi kumalizika.

Dovutwa amesema anaungwa mkono na vyama vya SAU, Jahazi Asilia, UMD, NLD na Demokrasia Makini.
 
yule ni kibaraka kuanzia mwaka juzi na mwka jana wakati wa uchaguzi ndo alonyesha makucha yake

Makucha gani mbabaishaji huyu,wakiitwa wa kuonesha makucha yao na Dovutwa atajitokeza??Hawa ndio fisi maji waliojivika ngozi ya kitoweo pweza.Hakuna lolote pale.
 
Back
Top Bottom