Dovutwa amtetea Ridhiwani; awaponda Dr. Slaa na Mtikila

kwanza kwa usumbufu aliousababisha kwa kujitengua kwenye uchaguzi uliopita alistahili kufungiwa kutoshiriki siasa kabisa.
 
Wana-CCM ndiyo wanamsikiliza. Kwa nini asiweke strategy na Ridhiwani wake kuweka mawakili kuwasaidia iwapo wataamua kwenda mahakamani?

Haka kafisadi katakuwa kameweka historia ya kukimbilia mahakamani baada ya kutajwa ufisadi wake!
 
DOVUTWA ni ukakasi mi navyojua, afya yake mbovu anajikomba kwa bwn riz one ili apate vijisenti,updp ni chama cha magamba c.
 
Kazi ya siasa ni pamoja na kunadi Sera za chama, kwa hiyo hapo alikuwa ananadi sera za chama chake msishangae wana JF!
 
dovutwa aliwahi kuandikwa magazetini alitapeli waalimu rombo alichukua fedha zao kwa ajili ya kuwapelekea pikipiki kupitia kampuni yake mpk leo hajawapa au ndiyo anamtetea riz ili na hili lake litulizwe
 
Njaa mbaya sana jamani,jamaa alinunuliwa kujaribu kugawa kura akaonekana hana lolote zaidi kufurahisha redio na magazeti hakuwa hata na mvuto sasa pesa zimeisha ameona amesahaulika anajipendekeza atumwe tena
 
Wadau,nasikiliza redio hapa, taarifa ya saa 12 jioni hii, kwamba Dovutwa- mwenyekiti wa UDPD ameitisha press confernce na kutetea hatua ya Ridhiwani kutaka kuwapeleka court Dr Slaa na Mch Mtikila.....kaongea mengi, ila zaidi kawashangaa kushusha tuhuma za uwongo kwa Ridhiwani wakati wao ni zaidi ya wanasiasa, yaani ni watu wa dini,,,eti wasiongee kama 'watu wa mitaani'...

Dovutwa siyo jina geni sana masikioni mwangu nimelisikia somewhere, hebu nikumbushe tena UDPD ni nini?
 
Jamaa alikua anajinadi akiwa rais atajenga kiwanda cha silaha TZ. Kwahiyo msipoteze muda wenu kumjadili huyu, Mkimjadili mwaweza mpa umaarufu wa bure! Sitoshangaa kesho akilalama kuna mitandao(JF) ina muandama ili ajiongezee umaarafu.
 
baa yaan huyu jamaa katoka wapi sijjui anatoka kutotoa kwenye move za ukombozi,kisa njaa!!!!!!!!!!!!TUMPUZE TAFADHALI
 
Wadau,nasikiliza redio hapa, taarifa ya saa 12 jioni hii, kwamba Dovutwa- mwenyekiti wa UDPD ameitisha press confernce na kutetea hatua ya Ridhiwani kutaka kuwapeleka court Dr Slaa na Mch Mtikila.....kaongea mengi, ila zaidi kawashangaa kushusha tuhuma za uwongo kwa Ridhiwani wakati wao ni zaidi ya wanasiasa, yaani ni watu wa dini,,,eti wasiongee kama 'watu wa mitaani'...

Huyu ni Mbwa mwingine wa Jakaya lakini hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Wadau,nasikiliza redio hapa, taarifa ya saa 12 jioni hii, kwamba Dovutwa- mwenyekiti wa UDPD ameitisha press confernce na kutetea hatua ya Ridhiwani kutaka kuwapeleka court Dr Slaa na Mch Mtikila.....kaongea mengi, ila zaidi kawashangaa kushusha tuhuma za uwongo kwa Ridhiwani wakati wao ni zaidi ya wanasiasa, yaani ni watu wa dini,,,eti wasiongee kama 'watu wa mitaani'...
Yaani mlugaluga anashtakia kwa wenzake!! wazandiki bwana!
 
DOVUTWA.JPG
 
Wadau,nasikiliza redio hapa, taarifa ya saa 12 jioni hii, kwamba Dovutwa- mwenyekiti wa UDPD ameitisha press confernce na kutetea hatua ya Ridhiwani kutaka kuwapeleka court Dr Slaa na Mch Mtikila.....kaongea mengi, ila zaidi kawashangaa kushusha tuhuma za uwongo kwa Ridhiwani wakati wao ni zaidi ya wanasiasa, yaani ni watu wa dini,,,eti wasiongee kama 'watu wa mitaani'...
Mimi nilivyosikia UPDP nilidhani ni chama cha Uganda ila walivyotaja Dovutwa ndo nikamkumbuka, nikafikiri jamaa amekuwa kimya toka alazwe baada ya kuskia kuna issue inamgusa mtoto wa rais akaona naye adandie walau atapata coverage ya vyombo vya habari ila kasikika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom