CCM haijaona mpinzani wakati imeshakufa ukiona una rebellious public kama wananchi kupambana na polisi tena kwenye vituo vyako,Raisi anazomewa,Mkewe anapopotolewa mawe,mawaziri wanashushwa majukwaani tayari ugunduwe kwamba umeshindwa kucommand public, kwa hiyo sio chama tu ni mpinzani bali watanzania wote wako kinyume na CCM bali imebakiwa na wanufaika mafisadi
You need to practice what you preach Bro.vuta subira mkuu itakapothibitika hivyo basi hatua na taratibu mujarabu zitachukuliwa.na hapo ndipo itakapozihirisha nani kati ya cdm na ccm ambaye ana walk on his talk.
Mkuu kwa dr slaa ni mungu wangu, haipiti siku moja haujamtaja duuu!Dr. Slaa ameruhusu barua ya Zitto uvuje kwa makusudi.
Kama kuna mtu anayetakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru ni Dr. Slaa kwa kushindwa kutunza siri za ofisi yake.
Mkuu, heshima kwako.
Kuwa tu muwazi na msema kweli, mara nyingi nimekuwa nikitofautiana na hoja zako, sio kwa minajili ya itikadi, bali nimekuwa nikiziona hazina mashiko.
Lakini hii ya kuwa na "double standards ndani ya chadema", nahafikiana na wewe, na yeyote asiye sadiki swala hili, basi ni miongoni mwa wale wasio na mapenzi mema na uzalendo wa kweli na taifa letu.
Mpaka sasa hakuna aliye muhukumu bwana Lwakatare kuwa amefanya ugaidi huo, yote haya yapo katika ngazi za TUHUMA, na kwa kawaidi, mtuhumiwa kama ana nafasi fulani ya kiuongozi au kiutawala, analazimika ajiweke pembeni, wenda kwa kuamua mwenyewe, kushinikizwa au kuamuriwa, ili uchunguzi uwe wa kweli na wa uhakika. Tumeliona hili la kujiweka pembeni kupisha upelelezi kwa baadhi ya viongozi wa CCM na mashirika ya umma (kasoro NHC tu kwa tukio la hivi karibuni).
Sasa hawa ndugu zetu CHADEMA ni kipi kinawapa wasiwasi, wamvue huo ukurugenzi maana kwa hali ya kawaida, haileti picha nzuri mkurugezi wa ulinzi wa CHADEMA kunyea debe huku bado ana mamlaka yake yaleyale ya kiofisi, waipe nafasi ya ukurugenzi hadhi yake jamani.
Kuna haja ya CHADEMA kuwaaminisha watanzania kuwa, wao ndio mbadala ya chama dume (CCM), kwa kufanya mambo yote ya kimaadili ambayo CCM imeonyesha kutoyazingatia, lakini mpaka sasa, CHADEMA inakutwa na mikasa mizito lakini viongozi wake bado wamehodhi tu madaraka. Kwa tukio hili, bwana Lwakatare angepaswa kuwajibika mapema sana, tangu chokochoko zilipo anza.
"CCM inasema nini kuhusu upinzani nchini!
CCM imesikika ikisema, "nahitaji mpinzani, bado sijamuona mpaka sasa." Mtanzania, tafakari na uchukue hatua."
Pole mkuu kwa kuugua.
You need to practice what you preach Bro.
Chadema have failed to do that.
Ndugu Zanguni
Nimesoma barua ile iliyowekwa hapa ikidaiwa kuwa imeandikwa na Mh Zitto na pia nimesoma maelezo yake hapa leo na kushangazwa sana na hizi double standards za CHADEMA , chama ambacho ndio kikubwa cha upinzani nchini na ambacho tunategemea ndio kiwe cha kwanza kutuonyesha mfano kuwa wakipewa dola watafanya nini pale viongozi wao wakiharibu au kukumbwa na kashfa yoyote inayohitaji uchunguzi wa polisi.
Wote tunajua kuwa ikitokea kashfa sehemu fulani ndani ya serikali CHADEMA huwa ni wa kwanza kushinikiza mhusika ajiuzuru au asimamishwe kupisha uchunguzi jambo ambalo na mimi nakubaliana nalo kwani huwezi kumchunguza mtuhumiwa wakati bado ni kiongozi. Ili uchunguzi uwe wa huru na haki inabidi muhusika asimamishwe kupisha uchunguzi huo ili asiwe na nafasi yoyote ya kuweza kuharibu ushahidi au kuwanyima nafasi wapelelezi kufanya uchunguzi wa kina kwa kumuonea aibu au huruma. Uchunguzi/upelelezi ukiisha basi hatima yake ndio itajulikana.
Sasa leo chadema wanashindwa kumsimamisha kwa muda Kiongozi wao na wanapinga kwa nguvu zote kuwa ameonewa, Hivi ikija kuonekana kuwa huyo kiongozi ana hatia tutawaelewaje? Kesho mtawezaje kuwanyooshea kidole CCM pale watakapoonekana wana kashfa?
Sidhani kama CHADEMA wanaweza kuchukua maamuzi mazito kama aliyochukua Mh Lowassa pale alipojiuzuru uwaziri mkuu.
Correction: wangeandamana kudai sheria ichukuwe mkondo wake. And that's exactly what's happening - kesi iko mahakmani.
Na wewe ukiwa kama ex-cop you should know better, "everyone is innocent until proven otherwise". So, put that in pipe and smoke it!
Mimi nadhani kama kweli mna wataalam wenu na nyinyi mngefanya uchunguzi kuliko kumtetea wakati nyie wenyewe hamjui ukweli ukoje
Ndugu Zanguni
Nimesoma barua ile iliyowekwa hapa ikidaiwa kuwa imeandikwa na Mh Zitto na pia nimesoma maelezo yake hapa leo na kushangazwa sana na hizi double standards za CHADEMA , chama ambacho ndio kikubwa cha upinzani nchini na ambacho tunategemea ndio kiwe cha kwanza kutuonyesha mfano kuwa wakipewa dola watafanya nini pale viongozi wao wakiharibu au kukumbwa na kashfa yoyote inayohitaji uchunguzi wa polisi.
Wote tunajua kuwa ikitokea kashfa sehemu fulani ndani ya serikali CHADEMA huwa ni wa kwanza kushinikiza mhusika ajiuzuru au asimamishwe kupisha uchunguzi jambo ambalo na mimi nakubaliana nalo kwani huwezi kumchunguza mtuhumiwa wakati bado ni kiongozi. Ili uchunguzi uwe wa huru na haki inabidi muhusika asimamishwe kupisha uchunguzi huo ili asiwe na nafasi yoyote ya kuweza kuharibu ushahidi au kuwanyima nafasi wapelelezi kufanya uchunguzi wa kina kwa kumuonea aibu au huruma. Uchunguzi/upelelezi ukiisha basi hatima yake ndio itajulikana.
Sasa leo chadema wanashindwa kumsimamisha kwa muda Kiongozi wao na wanapinga kwa nguvu zote kuwa ameonewa, Hivi ikija kuonekana kuwa huyo kiongozi ana hatia tutawaelewaje? Kesho mtawezaje kuwanyooshea kidole CCM pale watakapoonekana wana kashfa?
Sidhani kama CHADEMA wanaweza kuchukua maamuzi mazito kama aliyochukua Mh Lowassa pale alipojiuzuru uwaziri mkuu.
Mh Lowassa, Mzee Mwinyi, Mh Mrema...
Sasa matusi ya nini?"Kuchamba kwingi sasa naona unaondoka na ....................". CHADEMa waligundua kwamba jamaa hamna kitu mkichwa. Kama ujengeji hoja wenyewe ndio huu wa huyu jamaa, hawakukosea licha ya kuambiwa kwamba alikuwa msaliti!!!
bahati mbaya ungekuwa na maarifa ungeficha mapungufu yako. Ila kwa vile una mapungufu ya kuto jijua kwamba una hayo mapungufu ndiyo unazidi kujionyesha jinsi ulivyo mtupu.
Naendelea kuomba kwa Mungu kwamba, kwa vile umeamua kuwasaliti waTanzania wanao nyanyasika katika nchi yao Kiuchumi na Kisiasa, "ULAANIWE WEWE PAMOJA NA UZAO WAKO HADI MWISHO WA DAHARI".
CCM hatuna siasa za kupiga mayoweSasa kwa nini na nyie ccm msishinikize ajiuzuru..acha kuwa na akili za kitoto
Badala yakumeza dawa alizoshauriwa atumie kwamatatizo aliyonayo,kameza VIAGRA ndizo zinamsumbua na kakosa mume!
Dr. Slaa ameruhusu barua ya Zitto uvuje kwa makusudi.
Kama kuna mtu anayetakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru ni Dr. Slaa kwa kushindwa kutunza siri za ofisi yake.
CCM hatuna siasa za kupiga mayowe