Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,394
- 92,712
Kwa akili yako na Mrema mnajenga combination nzuri sana, huyo ndio anafaa kuwa kiongozi wako. ndege wafananao huruka pamoja.Wewe unachokumbuka ni Mrema kufukuzwa Uwaziri lakini hukumbuki kuwa Mrema alijiuzuru pale mauaji ya vikongwe yalipotokea.
Katika wapinzani ambao naweza kuwapa kura zangu ni Mh Lyatonga Mrema mzee wa siku saba
Chadema bado sana
Hakuna unalolijuwa jinsi Usalama wa Taifa unavyofanya kazi zake licha ya kuwa umeshapoteza muelekeo. Usalama wa Taifa si Usalama wa raia hili ulielewe very clear kama kuna uwajibikaji moja kwa moja anahusika RPC, OCD na Waziri husika. usikalilishwe kitu ukawa unaimba kama kasuku tu.