DOUBLE STANDARDS ZA CHADEMA, Lwakatare angekuwa kiongozi wa CCM wangeandamana kushinikiza ajiuzuru

Ungesoma vizuri usinge jichanganya hapa......Zitto anasema maneno maudhui ya hiyo barua yanafanana na lichikiandia. Pia anasema aliye post, ID yake inaonesha ndiye aliyeweka hapa video ya Lwakatale, sasa huyo mtu atakuwaje na uhusiani na Dr Slaaa?

Dr. Slaa ameruhusu barua ya Zitto uvuje kwa makusudi.

Kama kuna mtu anayetakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru ni Dr. Slaa kwa kushindwa kutunza siri za ofisi yake.
 
Hahahahah
kwanini haina muhuri?
Haina adress?
Haina sign?
Mmekosa pa kushika maana mlitegemea zitto apinge maamuzi aliyoyafanya!

Poleni sana tangia muanze kupambana na Dr slaa hamjawai kushinda!

Dr. Slaa ameruhusu barua ya Zitto uvuje kwa makusudi.

Kama kuna mtu anayetakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru ni Dr. Slaa kwa kushindwa kutunza siri za ofisi yake.
 
Ungesoma vizuri usinge jichanganya hapa......Zitto anasema maneno maudhui ya hiyo barua yanafanana na lichikiandia. Pia anasema aliye post, ID yake inaonesha ndiye aliyeweka hapa video ya Lwakatale, sasa huyo mtu atakuwaje na uhusiani na Dr Slaaa?

Wewe ndio hujaelewa.

Barua aliyoandikiwa Dr. slaa imeingia mikononi mwa watu wengine ambao wamevujisha maudhui hayo kwa kutengeneza barua feki na kuiweka JF.

Dr. Slaa anapaswa kufikiria kuwajibika kwa hili. Lengo ni kuhakikisha ofisi ya katibu mkuu inaheshimu siri za kiofisi.
 
Na kesho ukija gundua kuwa ni Lwakatare mwenyewe anataka kuihujumu chadema utasemaje?
Never say Never, anything is possible.

vuta subira mkuu itakapothibitika hivyo basi hatua na taratibu mujarabu zitachukuliwa.na hapo ndipo itakapozihirisha nani kati ya cdm na ccm ambaye ana walk on his talk.
 
Dr. Slaa ameruhusu barua ya Zitto uvuje kwa makusudi.

Kama kuna mtu anayetakiwa kuwajibika kwa kujiuzuru ni Dr. Slaa kwa kushindwa kutunza siri za ofisi yake.

Inawezekana unachosema ni kweli na inawezekana si kweli. Lakini kwangu suala si kuvuja kwa barua, kwangu kwa nini Naibu Katibu Mkuu alimwandikia barua Katibu Mkuu kwa suala kama hilo. Kwani hawa jamaa hawana ofisi? Hawa jamaa hawapigiani simu? Hawa jamaa hawatembeleani? Kama haya yote yanafanyika kwa nini Zitto hakuyatumia. Kama aliyatumia na kuona hayafai na akaamua kuandika barua, je huwezi na yeye kumweka kwenye kundi la akina Slaa la kutokutunza siri (maana na yeye angefaidika kwa kujulikana alishauri nini)
 
Mh Lowassa, Mzee Mwinyi, Mh Mrema...
.
t
Hivi unamwona Lowasa alijiuzuru akiwa mtu safi? Nani asiyejua kwamba Jk alimwambia ajiuuzuru ili aendelee kupata stahili za waziri mkuu mstaafu amla la angemtosa kwa sababu mawimbi yaizidi nguvu za makasia?

AU KWELI UNAYO YALE MARADHI ALIYOSEMA DR? PENGINE YAWEZEKANA HUFAHAMU. UGEENDA TU KWA CHECKUP. HUNA CHA KUPOTEZA ZAIDI YA KUSAWAZISHA AFYA YAKO.
 
Na kesho ukija gundua kuwa ni Lwakatare mwenyewe anataka kuihujumu chadema utasemaje?
Never say Never, anything is possible.

Mbona mwenyekiti wako alikiri CCM ni wei na walishiriki kuiba fedha za EPA,meremeta lakini hakumwambia mtu ajiuzuru zaidi aliwataka wazirejeshe kwa muda wao na raha zao
makamu mwenyekiti Mangula alikiri kupanga na kushiriki kwa wizi wa fedha za umma kwa kusema alijua mipango ya EPA na Kagoda lakini hajawahi kujiudhuru
Katibu mkuu ameshakiri sio mara moja au mbili meli zake kusafirisha meno ya tembo mbona hajajiuzuru
kama ni double standard wewe unaipractise at the highest level ,vizuri ukatafuta mbinu ya kuppoza hasira za wananchi against CCM,rudi nyumbani uone jinsi Mwenyekiti wako wa CCM anapokwenda kwenye jimbo unalotarajia kugombea kwa tahadhari anajua wananchi walishampa kisogo zamani kwa kushindwa kutimiza ahadi zake
 
Ningeweza kufanya post za huyu jamaa anaitwa Chris Mkosi zisionekane hapa jukwaani ningefanya hivyo, anaharibia watu siku tu na kuwasababishia ban.
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana unachosema ni kweli na inawezekana si kweli. Lakini kwangu suala si kuvuja kwa barua, kwangu kwa nini Naibu Katibu Mkuu alimwandikia barua Katibu Mkuu kwa suala kama hilo. Kwani hawa jamaa hawana ofisi? Hawa jamaa hawapigiani simu? Hawa jamaa hawatembeleani? Kama haya yote yanafanyika kwa nini Zitto hakuyatumia. Kama aliyatumia na kuona hayafai na akaamua kuandika barua, je huwezi na yeye kumweka kwenye kundi la akina Slaa la kutokutunza siri (maana na yeye angefaidika kwa kujulikana alishauri nini)
Umesoma vizuri maelezo ya Zito mwenyewe kuhusu hiyo barua leo?
Naomba ukasome kwanza halafu ndio uje na ubishi wako
 
Inawezekana unachosema ni kweli na inawezekana si kweli. Lakini kwangu suala si kuvuja kwa barua, kwangu kwa nini Naibu Katibu Mkuu alimwandikia barua Katibu Mkuu kwa suala kama hilo. Kwani hawa jamaa hawana ofisi? Hawa jamaa hawapigiani simu? Hawa jamaa hawatembeleani? Kama haya yote yanafanyika kwa nini Zitto hakuyatumia. Kama aliyatumia na kuona hayafai na akaamua kuandika barua, je huwezi na yeye kumweka kwenye kundi la akina Slaa la kutokutunza siri (maana na yeye angefaidika kwa kujulikana alishauri nini)

Mkuu Mkodoleaji,

Zitto ameandika barua na hupenda kuandika barua kwa sababu kumeshatokea mara kadhaa Zitto akinukuliwa kusema vitu ambavyo hakuvisema. Kwahiyo kuandika barua kunaweka kumbukumbu sawa ni kitu gani kimesemwa na kimesemwa vipi. Nadhani wewe ni shahidi kuwa kwenye barua ile tayari Zitto alishaanza kunukuliwa kuwa amesema Lwakatare atoswe. Asingeandika barua mazungumzo yangebaki kuwa Zitto anataka Lwakatare atoswe.

Dr. Slaa ni hodari wa kuchafua watu asiowatakia mafanikio.
 
Ningeweza kufanya post za huyu jamaa anaitwa Chris Mkosi zisionekane hapa jukwaani ningefanya hivyo, anaharibia watu siku tu na kuwasababishia ban.
Kama unachukia kukosolewa basi hufai kuwa kiongozi kwani utakuwa Dictator
Ni watu kama Idd Amin tu ndio ambao hawapendi kuonekana wanakosolewa, mbona CCM mnaisema vibaya kila kukicha hapa na hatutokwi povu?
 
Wewe ndio hujaelewa.

Barua aliyoandikiwa Dr. slaa imeingia mikononi mwa watu wengine ambao wamevujisha maudhui hayo kwa kutengeneza barua feki na kuiweka JF.

Dr. Slaa anapaswa kufikiria kuwajibika kwa hili. Lengo ni kuhakikisha ofisi ya katibu mkuu inaheshimu siri za kiofisi.

mkuu kama nimemuelewa zitto ni kwamba barua iliyoletwa jf cyo ile ambayo alisubmit kwa katibu mkuu bali hii iliyowekwa jf maudhui yanafana.kwakifupi maelezo ya zitto na ushauri wake umejitosheleza.kwa jinsi ccm wanavyohaha kuakisha wakidhofisha cdm kwakutumia watu wenye njaa ila bado mungu anaipigania cdm
 
Wewe ndio hujaelewa.

Barua aliyoandikiwa Dr. slaa imeingia mikononi mwa watu wengine ambao wamevujisha maudhui hayo kwa kutengeneza barua feki na kuiweka JF.

Dr. Slaa anapaswa kufikiria kuwajibika kwa hili. Lengo ni kuhakikisha ofisi ya katibu mkuu inaheshimu siri za kiofisi.
Unacheza makida makida huna intergrity yeyote unapost na kuhitaji public sympathy kuna theories za wanasiasa wa sampuli yako amabo wako tayari kufanya lolote ili kuweka majina yao juu hata ikibidi kula nyama za binadamu lakini mara nyingi wameishia pambaya na wamekufa kwa aibu kuu
 
Ndugu Zanguni

Nimesoma barua ile iliyowekwa hapa ikidaiwa kuwa imeandikwa na Mh Zitto na pia nimesoma maelezo yake hapa leo na kushangazwa sana na hizi double standards za CHADEMA , chama ambacho ndio kikubwa cha upinzani nchini na ambacho tunategemea ndio kiwe cha kwanza kutuonyesha mfano kuwa wakipewa dola watafanya nini pale viongozi wao wakiharibu au kukumbwa na kashfa yoyote inayohitaji uchunguzi wa polisi.

Wote tunajua kuwa ikitokea kashfa sehemu fulani ndani ya serikali CHADEMA huwa ni wa kwanza kushinikiza mhusika ajiuzuru au asimamishwe kupisha uchunguzi jambo ambalo na mimi nakubaliana nalo kwani huwezi kumchunguza mtuhumiwa wakati bado ni kiongozi. Ili uchunguzi uwe wa huru na haki inabidi muhusika asimamishwe kupisha uchunguzi huo ili asiwe na nafasi yoyote ya kuweza kuharibu ushahidi au kuwanyima nafasi wapelelezi kufanya uchunguzi wa kina kwa kumuonea aibu au huruma. Uchunguzi/upelelezi ukiisha basi hatima yake ndio itajulikana.

Sasa leo chadema wanashindwa kumsimamisha kwa muda Kiongozi wao na wanapinga kwa nguvu zote kuwa ameonewa, Hivi ikija kuonekana kuwa huyo kiongozi ana hatia tutawaelewaje? Kesho mtawezaje kuwanyooshea kidole CCM pale watakapoonekana wana kashfa?

Sidhani kama CHADEMA wanaweza kuchukua maamuzi mazito kama aliyochukua Mh Lowassa pale alipojiuzuru uwaziri mkuu.

Mkuu, heshima kwako.

Kuwa tu muwazi na msema kweli, mara nyingi nimekuwa nikitofautiana na hoja zako, sio kwa minajili ya itikadi, bali nimekuwa nikiziona hazina mashiko.

Lakini hii ya kuwa na "double standards ndani ya chadema", nahafikiana na wewe, na yeyote asiye sadiki swala hili, basi ni miongoni mwa wale wasio na mapenzi mema na uzalendo wa kweli na taifa letu.

Mpaka sasa hakuna aliye muhukumu bwana Lwakatare kuwa amefanya ugaidi huo, yote haya yapo katika ngazi za TUHUMA, na kwa kawaidi, mtuhumiwa kama ana nafasi fulani ya kiuongozi au kiutawala, analazimika ajiweke pembeni, wenda kwa kuamua mwenyewe, kushinikizwa au kuamuriwa, ili uchunguzi uwe wa kweli na wa uhakika. Tumeliona hili la kujiweka pembeni kupisha upelelezi kwa baadhi ya viongozi wa CCM na mashirika ya umma (kasoro NHC tu kwa tukio la hivi karibuni).

Sasa hawa ndugu zetu CHADEMA ni kipi kinawapa wasiwasi, wamvue huo ukurugenzi maana kwa hali ya kawaida, haileti picha nzuri mkurugezi wa ulinzi wa CHADEMA kunyea debe huku bado ana mamlaka yake yaleyale ya kiofisi, waipe nafasi ya ukurugenzi hadhi yake jamani.

Kuna haja ya CHADEMA kuwaaminisha watanzania kuwa, wao ndio mbadala ya chama dume (CCM), kwa kufanya mambo yote ya kimaadili ambayo CCM imeonyesha kutoyazingatia, lakini mpaka sasa, CHADEMA inakutwa na mikasa mizito lakini viongozi wake bado wamehodhi tu madaraka. Kwa tukio hili, bwana Lwakatare angepaswa kuwajibika mapema sana, tangu chokochoko zilipo anza.

"CCM inasema nini kuhusu upinzani nchini!
CCM imesikika ikisema, "nahitaji mpinzani, bado sijamuona mpaka sasa." Mtanzania, tafakari na uchukue hatua."
 
Kama unachukia kukosolewa basi hufai kuwa kiongozi kwani utakuwa Dictator
Ni watu kama Idd Amin tu ndio ambao hawapendi kuonekana wanakosolewa, mbona CCM mnaisema vibaya kila kukicha hapa na hatutokwi povu?
Kukosoa na kuzusha vitu viwili tofauti CCM hawaji hapa kwa sababu watu wanakuja na facts sio uzushi
 
Mkuu, heshima kwako.

Kuwa tu muwazi na msema kweli, mara nyingi nimekuwa nikitofautiana na hoja zako, sio kwa minajili ya itikadi, bali nimekuwa nikiziona hazina mashiko.

Lakini hii ya kuwa na "double standards ndani ya chadema", nahafikiana na wewe, na yeyote asiye sadiki swala hili, basi ni miongoni mwa wale wasio na mapenzi mema na uzalendo wa kweli na taifa letu.

Mpaka sasa hakuna aliye muhukumu bwana Lwakatare kuwa amefanya ugaidi huo, yote haya yapo katika ngazi za TUHUMA, na kwa kawaidi, mtuhumiwa kama ana nafasi fulani ya kiuongozi au kiutawala, analazimika ajiweke pembeni, wenda kwa kuamua mwenyewe, kushinikizwa au kuamuriwa, ili uchunguzi uwe wa kweli na wa uhakika. Tumeliona hili la kujiweka pembeni kupisha upelelezi kwa baadhi ya viongozi wa CCM na mashirika ya umma (kasoro NHC tu kwa tukio la hivi karibuni).

Sasa hawa ndugu zetu CHADEMA ni kipi kinawapa wasiwasi, wamvue huo ukurugenzi maana kwa hali ya kawaida, haileti picha nzuri mkurugezi wa ulinzi wa CHADEMA kunyea debe huku bado ana mamlaka yake yaleyale ya kiofisi, waipe nafasi ya ukurugenzi hadhi yake jamani.

Kuna haja ya CHADEMA kuwaaminisha watanzania kuwa, wao ndio mbadala ya chama dume (CCM), kwa kufanya mambo yote ya kimaadili ambayo CCM imeonyesha kutoyazingatia, lakini mpaka sasa, CHADEMA inakutwa na mikasa mizito lakini viongozi wake bado wamehodhi tu madaraka. Kwa tukio hili, bwana Lwakatare angepaswa kuwajibika mapema sana, tangu chokochoko zilipo anza.

"CCM inasema nini kuhusu upinzani nchini!
CCM imesikika ikisema, "nahitaji mpinzani, bado sijamuona mpaka sasa." Mtanzania, tafakari na uchukue hatua."

CCM haijaona mpinzani wakati imeshakufa ukiona una rebellious public kama wananchi kupambana na polisi tena kwenye vituo vyako,Raisi anazomewa,Mkewe anapopotolewa mawe,mawaziri wanashushwa majukwaani tayari ugunduwe kwamba umeshindwa kucommand public, kwa hiyo sio chama tu ni mpinzani bali watanzania wote wako kinyume na CCM bali imebakiwa na wanufaika mafisadi
 
Ndugu Zanguni

Nimesoma barua ile iliyowekwa hapa ikidaiwa kuwa imeandikwa na Mh Zitto na pia nimesoma maelezo yake hapa leo na kushangazwa sana na hizi double standards za CHADEMA , chama ambacho ndio kikubwa cha upinzani nchini na ambacho tunategemea ndio kiwe cha kwanza kutuonyesha mfano kuwa wakipewa dola watafanya nini pale viongozi wao wakiharibu au kukumbwa na kashfa yoyote inayohitaji uchunguzi wa polisi.

Wote tunajua kuwa ikitokea kashfa sehemu fulani ndani ya serikali CHADEMA huwa ni wa kwanza kushinikiza mhusika ajiuzuru au asimamishwe kupisha uchunguzi jambo ambalo na mimi nakubaliana nalo kwani huwezi kumchunguza mtuhumiwa wakati bado ni kiongozi. Ili uchunguzi uwe wa huru na haki inabidi muhusika asimamishwe kupisha uchunguzi huo ili asiwe na nafasi yoyote ya kuweza kuharibu ushahidi au kuwanyima nafasi wapelelezi kufanya uchunguzi wa kina kwa kumuonea aibu au huruma. Uchunguzi/upelelezi ukiisha basi hatima yake ndio itajulikana.

Sasa leo chadema wanashindwa kumsimamisha kwa muda Kiongozi wao na wanapinga kwa nguvu zote kuwa ameonewa, Hivi ikija kuonekana kuwa huyo kiongozi ana hatia tutawaelewaje? Kesho mtawezaje kuwanyooshea kidole CCM pale watakapoonekana wana kashfa?

Sidhani kama CHADEMA wanaweza kuchukua maamuzi mazito kama aliyochukua Mh Lowassa pale alipojiuzuru uwaziri mkuu.

Sick lukosi. Vipi usha fanya utaratibu wa kwenda hospital? Magonjwa uliyo orozeshewa ni mengi sana ukichelewa yatakuuwa.
 
Ndicho ambacho mlitaka CHADEMA wafanye lakini wameruka kiunzi. Hivyo waacheni waende kwa amani maana mtego wenu ni stahiki kwa vilaza na si watu wenye akili zao timamu.
 
Douchebag.

Back
Top Bottom