makundi4619
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 486
- 141
Hivi deni la Dr. Slaa linakuhusu nini? Deni si litalipwa tu? Mbona huleti bayana mahesabu ya wizi uliofanywa na magamba kuanzia EPA, meremeta, rada na mengine lukuki? Kweli wewe ni mamluki wa magamba. Pole sana kwa kukubali kutumika kama kikaragosi cha waovu, wafamaji wanaoimaliza nchi yetu. Kafie mbali.eep: