Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Wana Jf sio kwamba nawaondolea imani na Dr.slaa ndani ya chama,bali huu ni ukweli kabisa kwamba Dr.slaa anadaiwa na chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kiasi cha tsh.Million 140 ambazo hazifahamiki zitarudishwaje hadi hii leo.

Mchanganuo wa deni hili ni kama ifuatavyo...

1.Dr.slaa alikopa fedha kiasi cha tsh.Million 80 kwaajili ya kumalizia malipo ya deni la nyumba ya NSSF aliyokopeshwa maeneo ya bunju....Fedha hizi zilikopeshwa tangu mwaka juzi.Ilihali nyumba ile ya bunju na Karatu zilizojengwa na Dr.slaa zinamilikiwa na Bi.Josephine Mshumbusi hii nikwamujibu wa hati ya nyumba kama inavyosomeka kwenye wamiliki wa nyumba za NSSF .

2.Pili alichukua pesa million 40 za chama zilizotengwa kwaajili ya uchaguzi mwaka 2015 fedha hizo ni zile zilizokuwa zikichangiwa na wabunge wa chadema kila mwezi kama walivyokubalina na kamati kuu mapema baada ya uchaguzi(kwenye kikao cha evaluation ya uchaguzi mwaka 2010).sakata hili limepelekea baadhi ya wabunge kugoma kuendelea kuchangia mfuko wa chama na hivi majuzi huko bungeni dodoma kwenye vikao vya chama vya ndani wabunge walisimamia kidete swala hili la kumtaka Dr.slaa alipe deni hilo ili arejeshe imani kwa wabunge kuendelea kuchangia.

Fedha hizo, Dr.slaa alizielekeza kwenda kununulia samani za ndani za nyumbani kwake.Fedha hizi hazikupitia taratibu halali za kukopeshwa kwa sababu alijikopesha ruzuku ya chama (kitu ambacho ni illigeal kwenye katiba ya chama ruzuku)

4.Mnamo Tar:20 mwezi wa 1 mwaka huu Dr.slaa alifika makao makuu na kuomba kukopeshwa kiasi cha tsh.Million 20 za haraka huku akiwa ameambatana na Josephine mshumbusi.Aliwalazimu wahazini kwenda kuchota fedha kwenye account ya chama siku hiyohiyofedha zile alikabidhiwa Josephine mshumbusi ambaye alizichenji kwenda dola na kuziingiza kwenye account yake(jina tunalihifadhi la account)

SAKATA HILI LA DENI LA DR.SLAA limechukua sula tofauti kabisa kwa mwenyekiti wa chama Mh.Freeman Aikael Mbowe ambaye amemtaka Dr.slaa kurejeshaa deni hilo mapema iwezekanavyo..kwa sababu deni hilo limeshaanza kuwagawa wabunge ndani ya chama.Kwa hatua za awali Mwenyekiti wa chama ameamua kukabidhi madaraka ya mapato na matumizi kwa Lema ilikuajaribu kukinusuru chama.

NASISITIZA HII LEO TAR.8/8/2012 WABUNGE WA CHADEMA BAADHI WAMEGOMA KWENDA KWENYE MKUTANO WALEO UNAOFANYIKA MAENEO YA IFAKARA SABABBU IKIWA NI HII HII YA KUIBIWA FEDHA ZAO

IKUMBUKWE WAZI KWAMBA FEDHA ZOTE ANAZO DAIWA DR.SLAA HAZIKUPITIA UTARATIBU HUSIKA WA CHAMA WA KUKOPESHA WAFANYAKAZI WAKE, NI MWAVULI WA UKATIBU MKUU NDIO ULIOPELEKEA KUCHUKUA MAAMUZI YA KUWAFORCE KURUGENZI YA FEDHA KUMKOPESHA FEDHA HIZO.Barua ya kuwafukuza wafanyakaiz kadhaa wanaompinga ndnai ya chama ipo na inascaniwa iletwe hapa,

NAOMBA KAMA DR.SLAA ANAKANA UKWELI HUU AJE HAPA APINGE,USHAHIDI TUNAO.

Jf jukwa huru la kujadili mambo yote sio ya ccm,cuf na TLP tu bali hata ya chadema ni muhimu kuyajadili katika usawa.
Tuntemeke na marcopolo hamjambo??
 
Ninavyowaona kaka zangu na Dada zangu mnavyolialiia kwa matusi nawashangaa sana
 
Tuntemeke unawivu wa first lady kupewa hati za nyumba na kupata mkopo lakini kama na wewe unataka mkopo nenda nssf ukakope na kama unataka hati za nyumba na wewe nenda ukawe bi mdogo.
Naona mods walikuumbua page ya 1 yote unajijibu na uzi umeanzisha mwenyewe
 
Back
Top Bottom