Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

Hivi deni la Dr. Slaa linakuhusu nini? Deni si litalipwa tu? Mbona huleti bayana mahesabu ya wizi uliofanywa na magamba kuanzia EPA, meremeta, rada na mengine lukuki? Kweli wewe ni mamluki wa magamba. Pole sana kwa kukubali kutumika kama kikaragosi cha waovu, wafamaji wanaoimaliza nchi yetu. Kafie mbali.:peep:
 
Issue za slaa zinakuhusu nini wewe nani ndani ya CDM kalalamika pelekeni huo umbeya wenu wa lumumba kwa nape
mbona issue za CCM zikiletwa humu mnakua viherehere utasema zinawahusu. Slaa akitajwa povu linawatoka utasema umetukaniwa baba yako. Sasa kama Slaa ni mwizi watu wasiseme?au kwaajili anatoka CDM na huko ndio malaika wanapo ishi?
 
Ili zege ikamilike unahitaji maji, mchanga, saruji na kokoto. Kuwa whistleblower unahitaji habari na ushahidi. Wapi ushahidi?

Mwanahalisi ilipata heshima sio kwa kutwanga maneno matupu kwenye kinu bali kuleta na evidence, wapi evidence.
 
Gamba at work, tunajua upo kwenye payroll ya Nape, lakini kwa propaganda hii hata ukienda kwa Nape kudai posho yako atakutimua, maana hiyo propaganda, hata kwa mtoto wa chekechea. HATADANGANYIKA!! Hebu kajipange upya, ili ulete upya angalau kauwongo katakachofanana kidogo na kaukweli!!
 
kumbe kakopa mi nilijua kaiba sa we unataka akaishi wap????????alikuwa hana nyumba mkamcheka eti amepanga sasa kakopa kajenga hutaki!!!!!!!! akiiba uje utuambie sie tutamshughulikia kwa hili hapana
 
mbona issue za CCM zikiletwa humu mnakua viherehere utasema zinawahusu. Slaa akitajwa povu linawatoka utasema umetukaniwa baba yako. Sasa kama Slaa ni mwizi watu wasiseme?au kwaajili anatoka CDM na huko ndio malaika wanapo ishi?
Slaa ndiye anayekusanya kodi ya hii nchi Pambaf lazima ya ccm yasemwe kwasababu kodi yetu inaibwa na serikali yake
 
Slaa aje ajieleze hapa, asikae kuwatuma kina molelo waje kutoa matusi na kuvuruga hii topic.
 
Mi ndo maana huwa nasema ccm wakiacha makundi wakamsimamisha mtu anayeuzika (mfano Magufuli) watachukua nchi tena 2015. Lakini hawa wapinzani mmmh........niliwahi kusema wapinzani bado hawani-convince, watu wakanipotezea!
Kweli leo hii unaongelea kuua upinzani? Umekufa mawazo kabisa. Kama ingekuwa ni kukata tamaa inapaaswa kuondoa ccm maana miaka 50 lakini utasema imeanza jana. Pia kwa taarifa yako ccm inakuwa wapinzani soon.
 
Sasa unakuja na mada hata haijachangiwa umeshakuwa mbogo. Au ulikuwa dalali hujalipwa fao lako? Unafahamu hata haya madeni ya nchi inadaiwa ccm? Mbona usiseme ccm irudishe madeni ya nchi.? Ama kweli maisha magumu ila yako ya mezidi
 
mbona issue za CCM zikiletwa humu mnakua viherehere utasema zinawahusu. Slaa akitajwa povu linawatoka utasema umetukaniwa baba yako. Sasa kama Slaa ni mwizi watu wasiseme?au kwaajili anatoka CDM na huko ndio malaika wanapo ishi?

dr.Slaa hajaiba bali amekopa au hujui kusoma?????hapo unatamani angekuwa ameiba upate cha kuongea pole mwaya hajaiba wala............CCM tunaongea hadi mapavu yanatoka kwa sababu wanakusanya kodi zetu na ni wezi kweli ina maana umesahau EPA n.k
 
Kwa hiyo hizi story ndio zimeku-convince? We have a really long way to go aisee!
Mi ndo maana huwa nasema ccm wakiacha makundi wakamsimamisha mtu anayeuzika (mfano Magufuli) watachukua nchi tena 2015. Lakini hawa wapinzani mmmh........niliwahi kusema wapinzani bado hawani-convince, watu wakanipotezea!
 
Vunjavunja
Re: Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA
Wewe mpuuzi sina mda wa kusoma hoja zako wewe mweu tu, huna jipya.
Chadema bwana mna matatizo tena siyo madogo, we unatukana tu hata huja argue kwa evidence ili mradi tu kaguswa huyo jamaa yenu basi mnatusi. tatizo ni hiyo mbegu ya chuki mliyopandikizwa vichwani mwenu nd' maana watu wenye akili zao wanawasikiliza na kuwapembua baadae wana wadampu.... shukruni kwa vile hatutumii ID za ukweli lakini bila hivyo watu tungetafutana huku mtaani! tuwe wastaraabu...
 
Issue za slaa zinakuhusu nini wewe nani ndani ya CDM kalalamika pelekeni huo umbeya wenu wa lumumba kwa nape
Aaaaah mkisha kamatwa pabaya mnakujaga na matusi .issue za cdm zinanihusu Kama Mimi mwananchi wakawaida lazimaNijue uadilifu wa huyu padre nitakaetaka kumchagua iyo 2015 Kama atagombea
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom