Hongera Chadema kuwa wapangaji nyumbani kwa Mbowe Mikocheni

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
169
356
Bado Chadema imeshindwa kuondoka mikononi mwa mikono ya Mbowe hii ni baada ya kupanga nyumba maeneo ya Mikocheni, nyumba inayomilikiwa na Mwenyekiti wa chama hicho Aikael Mbowe mwanzo chama hicho walikuwa wamepanga ofisi Kinondoni mtaa wa Ufipa nyumba iliyokuwa mali ya Edwin Mtei.

Sidhani kama baraka za wajumbe wa kamati kuu wameridhia kuanza kulipa dola 5000 kama kodi ya pango la kila mwezi katika nyumba inayomilikiwa na Mwenyekiti wao.

Huu ni muendelezo wa matumizi mabaya ya fedha za CHADEMA. Siku zote imekuwa siri hakuna mtu anayejua hivi sasa fedha za chama zinatumikaje zaidi ya kakikundi ka watu watatu yaani Mwenyekiti, Katibu Mkuu na mtunza fedha wa chama (hao ndiyo signatory).

Kwa kiasi kikubwa Mbowe amekuwa akitengeneza mazingira ya upigaji wa ruzuku ya wakati wote kuanzia mwaka 2015 na 2020 ya kutaka chama kiwe hakina hela ili ikifika wakati wa uchaguzi kimpigie magoti. Kisha atatoa pesa bila kumbukumbu zozote na mara baada ya uchaguzi anapeleka lundo la deni na kudai alipwe hela aliyekikopesha chama wakati wa uchaguzi.

Ni kawaida ya Mbowe kufanya hivyo katika chaguzi za 2005 na 2010. Wakati wote wa kampeni za mwaka 2015 kwa mfano, Chadema wamekuwa wakihangaika sana kwa kukosa hata hela ya kununua maji kwa wajumbe wa ngome. Lakini ajabu ni kwamba baada ya uchaguzi mkuu wa chama na baadhi wa wapambe wake walipeleka deni kubwa la takribani shililingi milioni mia tano (500) akiadi kuwa walikikopesha chama.

Taasisi imewalipa pesa zote hizi kwa muda mwaka mmoja. Sasa anatengeneza mazingira hayohayo kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2025.

Ukumbi wa mikutano ni kwenye hiyo karakana yenye geti la bluu ambayo ipo ndani ya nyumba hiyo.

IMG_5658.jpg

IMG_5657.jpg

IMG_5654.jpg
 
View attachment 2870558
View attachment 2870559
View attachment 2870560
Kuna mtu humu alimtaja mwananzengo mmoja kuwa leo au jana ataenda CDM makao makuu....

Kada mwenzangu yule namjua😄😄😄😄
 
Nimesoma habari yote kushuka chini naona tangazo la nyumba kuuzwa dollar 900k.

Sijaona hiyo rental agreement ya 5000$.

Mleta mada unaweza kutuletea hiyo rental agreement otherwise hili litakua ni tangazo liende jukwaa la matangazo.
 
Back
Top Bottom