Na bado Said Kubenea kasema more to folow
Sambala hajakosea, kwa hali ya kawaida na kwa mtu anayejali utu wa wenzake huwezi kumuonea huruma Ulimboka, mimi naona bora angekufa tu naye kwani ana tofauti gani na wale waliokufa kutokana na mgomo ule? nakumbuka hata jirani yangu alifia Bugando hospitali kwa sababu tu ya mgomoComrade Sambala ‎....KAMA WEWE NDIO MASIKINI MWENZANGU AMBAYE...
BABA YAKO,
MAMA YAKO,
KAKA YAKO,
DADA YAKO,
SHANGAZI YAKO,
MJOMBA WAKO,
AMA MWANAO
ALIKUFA KWA SABABU TU MADAKTARI WALIGOMA MPAKA KWANZA WALIPWE MILIONI 7.
BASI UTAKUWA NA MIMI KUAMINI KUWA ALIYEMTEKA DK ULIMBOKA NDIO SHUJAA KWANI KAKOMESHA MGOMO
Diwani uchwara hajui hlo, ila CCM ruksa kujadil
Hili ndilo la kujadili kwa sababu alikuwa anahatarisha maisha ya watanzania waliowengi, badala ya kumsafisha kwa kusingizia vyombo vyetu vya ulinzi kuwa vilimteka ili iweje?
Kwahiyo wagonjwa wanavyokufa hivi sasa kwa kukosa kutibiwa vizuri kutokana na upungufu wa vifaa ambavyo tunaweza kuvimudu yeye kwake bado ni ushujaa. Kweli tuna kazi kubwa sana katika kulikomboa hili Taifa.
Mh. Sambala, ambaye ni Diwani wa Mondo, Kondoa, Dodoma lakini yeye msimu mzima yuko Dar, kwenye Facebook, kwenye TANURU LA FIKRA, na kuweka posts za kijinga. Posts DHAIFU.
Sijui muda wa kuwawakilisha wananchi wake anaupataga lini; na bahati mbaya vyeo vya kupeana peana tu mwisho wake Novemba 01, 2015.