Diwani wa Kata Ya Mondo Kondoa Dodoma asema ALOMTEKA DR. ULIMBOKA NI SHUJAA

Kwahiyo wagonjwa wanavyokufa hivi sasa kwa kukosa kutibiwa vizuri kutokana na upungufu wa vifaa ambavyo tunaweza kuvimudu yeye kwake bado ni ushujaa. Kweli tuna kazi kubwa sana katika kulikomboa hili Taifa.
 
Comrade Sambala ‎....KAMA WEWE NDIO MASIKINI MWENZANGU AMBAYE...

BABA YAKO,
MAMA YAKO,
KAKA YAKO,
DADA YAKO,
SHANGAZI YAKO,
MJOMBA WAKO,
AMA MWANAO

ALIKUFA KWA SABABU TU MADAKTARI WALIGOMA MPAKA KWANZA WALIPWE MILIONI 7.

BASI UTAKUWA NA MIMI KUAMINI KUWA ALIYEMTEKA DK ULIMBOKA NDIO SHUJAA KWANI KAKOMESHA MGOMO
 
Sambala ‎...HAYA NI MAWAZO HURU YA SAMBALA...

NA HAYAFUNGAMANI NA CHAMA WALA YEYEOTE..

NASEMA TENA HUYO NDO SHUJAA WANGU..
 
Nitashindwa kula nahisi kichefuchefu,ukiuliza diwani elimu yake utasikia darasa la saba,achanaeni naye.
 
Demokrasi inatumika. Kila mtu ana upeo wake na misingi anayotegemea kutetea mawazo yake. Wengine hawaijui falsafa ya siasa.
 
Comrade Sambala ‎....KAMA WEWE NDIO MASIKINI MWENZANGU AMBAYE...

BABA YAKO,
MAMA YAKO,
KAKA YAKO,
DADA YAKO,
SHANGAZI YAKO,
MJOMBA WAKO,
AMA MWANAO

ALIKUFA KWA SABABU TU MADAKTARI WALIGOMA MPAKA KWANZA WALIPWE MILIONI 7.

BASI UTAKUWA NA MIMI KUAMINI KUWA ALIYEMTEKA DK ULIMBOKA NDIO SHUJAA KWANI KAKOMESHA MGOMO
Sambala hajakosea, kwa hali ya kawaida na kwa mtu anayejali utu wa wenzake huwezi kumuonea huruma Ulimboka, mimi naona bora angekufa tu naye kwani ana tofauti gani na wale waliokufa kutokana na mgomo ule? nakumbuka hata jirani yangu alifia Bugando hospitali kwa sababu tu ya mgomo
 
Hana lolote huyo ni mmoja
kati ya wale vijana
wanaotoana roho kuwania
uongozi UVCCM,anajiita mh
kisa ni diwani wa kata gani
sijui dodoma huko! anamiliki
ka group kake kule facebook
kanaitwa TANURU LA
FIKRA,kutwa ni kuwachafua
vijana wenzake wenye nia na
UVCCM kwenye hilo group
na ni mmoja wa wafuasi wa
kigwangala,anamkashifu
bashe kila siku! anajiita
comrade sambala,kifupi
anapenda misifa ya kijinga!
Im out aje ajitetea nimwage
maovu yake hapa,,,
Excellent 10:33 4
 
kuunga mkono mgomo wa madaktari ni kuunga mkono mauwaji ya wananchi wasio na hatia
 
Mh. Sambala, ambaye ni Diwani wa Mondo, Kondoa, Dodoma lakini yeye msimu mzima yuko Dar, kwenye Facebook, kwenye TANURU LA FIKRA, na kuweka posts za kijinga. Posts DHAIFU.

Sijui muda wa kuwawakilisha wananchi wake anaupataga lini; na bahati mbaya vyeo vya kupeana peana tu mwisho wake Novemba 01, 2015.
 
Hili ndilo la kujadili kwa sababu alikuwa anahatarisha maisha ya watanzania waliowengi, badala ya kumsafisha kwa kusingizia vyombo vyetu vya ulinzi kuwa vilimteka ili iweje?

haya ebu anza kujadil tuone baring in mind liko mahakaman, halafu na wewe Sambala ni shujaa yako kwa kutamka hvyo?
 
huyo diwani ana mtindio wa ubongo mwaisheni mirembe hapo
 
Kwahiyo wagonjwa wanavyokufa hivi sasa kwa kukosa kutibiwa vizuri kutokana na upungufu wa vifaa ambavyo tunaweza kuvimudu yeye kwake bado ni ushujaa. Kweli tuna kazi kubwa sana katika kulikomboa hili Taifa.

Kuna vifo vilivyopangwa na Mungu huwezi kuzuia, wewe unategemea uishi milele kw avile kuna dawa na tiba za uhakika?
Basi Mako Jako asingekufa, Nyerere asingekufa kule ST. THOMAS, mkuu hapo huna hoja, Ulimboka atahurumiwa na watu kama akina SAID KUBENEA, ANANILEA NKYA, HELLEN BISIMBA na watu wengine kama hao ambao wanapata posho kwa ajili ya kugombanisha taifa, wakubwa zao (Wazungu ) sasa meno yote nje kwa vicheko kwa vile wanaona kama wanakaribia kuuza Silaha zao.
 
Mh. Sambala, ambaye ni Diwani wa Mondo, Kondoa, Dodoma lakini yeye msimu mzima yuko Dar, kwenye Facebook, kwenye TANURU LA FIKRA, na kuweka posts za kijinga. Posts DHAIFU.

Sijui muda wa kuwawakilisha wananchi wake anaupataga lini; na bahati mbaya vyeo vya kupeana peana tu mwisho wake Novemba 01, 2015.

hahahaha na akirudi mondo Ni kufanya picnic, kupga pcha na wananch na ku- upload mtandaoni mwake So automaticaly alshawageuza kama maliasil
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom